Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Napenda wimbo wake wa bane. Inasemakana jamaa kifo chake kilisababishwa na figisu za kisiasa. Wakati wake alikua na jina kubwa sana kukawa na tetesi anataka kuingia kwenye siasa agombee urais. Wenye mamlaka wakapita nae
Niliwahi kusikia hayo ila nikajua ni tetesi

Kwahiyo asingejiingiza kwenye siasa huenda angekuwepo mpaka sasa?
 
da kuna nyimbo kama lusa huu saiz unapgiwa sana kwenye sherehe kama harusi.
Kuna huyu monique seka nyimbo kama yelele,yaye dlemin,misounwa,chlein koe da moyo unasisimka kwkwel oliver ngoma na moinika seka nyimbo zao zinaish
Ukienda harusini usipopigwa lusa au adia basi hakuna sherehe hapo
 
Sema kwa zouk siyo rhumba
 
Mimi Nge' ndo nyimbo pekee niliyo nayo kwenye simu na ukinikuta nasikiliza muziki lazima ni nge' for over three years now
 
Oliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Mimi huu ni mwaka wa pili kama sio watatu ndiyo ngoma pekee ambayo nikiingia kwenye gari ni bluetooth connected na inaanza kugonga. Yani wanaonifahamu wanashangaa kila wakikutana na mimi nasikiliza hii ngoma. Huwa inafanya akili yangu inarudi miaka kibao nyuma inanikumbusha utoto na marehemu mzee wangu.
 
unamjua madilu system
 
mkuu,..oliver ngoma tumuache tu,...huyo ni mtu na zaidi,...salute kwake,...hapo usisahau kumuweka Monique seca,..papy tex ngoma yake inaitwa IBETIBI,...hao watu mziki waliujua,...🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…