Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

Kupata ngoma na liveshows zote za rhumba utaweza download kwa kupitia Google playstore jina rhumba music tv kama hauna unaweza tazama kupitia

Attachments

  • IMG-20260603-WA0005.jpg
    IMG-20260603-WA0005.jpg
    175.1 KB · Views: 11
  • IMG-20260603-WA0004.jpg
    IMG-20260603-WA0004.jpg
    98.3 KB · Views: 9
I salute you kinsmen.

Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .

Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..

Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Noma sana
 
Hivi kina papaa wba na wale kina lokua kuanza style yao inaitwaje ni rhumba au zouk
 
mkuu,..oliver ngoma tumuache tu,...huyo ni mtu na zaidi,...salute kwake,...hapo usisahau kumuweka Monique seca,..papy tex ngoma yake inaitwa IBETIBI,...hao watu mziki waliujua,...🙌🙌
Papy Tex ana wimbo unaitwa SINITIA. Ameimba Kwa kutulia sana. Ipo ktk Album ya IBETIBI ya Empire Bakuba
 
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..
Usimsahau Producer wa hayo mangoma bila Producer hayo mangoma yangekua hayapo ni Producer Manu Lima kutoka Cape Verde ndio ametengeneza hayo mangoma yoote ya Oliver Ngoma ambayo yanauza duniani kote mpaka leo hii, kumbuka Oliver Ngoma ana historia ndefu sana ya muziki alianza kuonekana mwanamuziki anaejua kufanya vizuri kwenye sanaa ya muziki ulipofika mwaka 1989 na hapo kashazunguka sana, nadhani simulizi yake kuna mdau aliiweka humu kwa urefu sana ipo humu hata mimi nakumbuka nilishawahi kuisoma kwa uzuri sana
 
Hii album inanikumbusha mbali....sherehe za miaka ya 1994, 1995 & 1996
Hahaha album zake zote zilikuwepo ndani yaan ni kuchomeka kwenye Cassette tu na kusikiliza upande A kisha kugeuza upande B, sema Bane ya 1990 ndio ilikua kali zaidi ya zingine Adia(1995) ilikua kali kidogo, Seva(2001) pia na Saga(2006) ndio vile ingawa hio album ya kwanza ya Bane jamaa ngoma zote zilikua za moto kuanzia side A mpaka side B hakuna kupoa halafu ndio album ambayo ngoma zake nyingi zimefanyiwa sampling na ngoma zingine ukisikiliza hio ngoma ya Adia huku unakunywa Coca-Cola yako baridi hapo na pilau kuku mixer nyama ya ng'ombe aah basi
 
Adia unasindikizia na Coca Cola ya baridi😀
 
I salute you kinsmen.

Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana .

Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja record zake kwenye zouk ..hakuna
Album yake ya Bane 1992 kama sikosei ilivunja record nyingi kwa kuuza sana Africa, hakika huyu mtu alikuwa na kipaji sana ..

Enjoy good music
View attachment 3372017
View attachment 3372019
View attachment 3372021
View attachment 3372021
View attachment 3372026
View attachment 3372028
View attachment 3372027
View attachment 3372026
View attachment 3372021
Sema zouk siyo rhumba mkuu rhumba kuna wakali Congo
 
Oliver mtukuzi alikua anaimba nini? Huyu mzee naona alikua anajua sana
 
Back
Top Bottom