Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

kevin strootman

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,114
Reaction score
1,872
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.


 
Mkuu leo kwangu kesho kwako. Today is me tomorrow is someone. Wee changa tu dada yetu mtanzania mwenzetu arudishwe nyumbani apumzike.
Hakuna kitu kama hicho, uongezee makalio ufie huko kwa shetani then ulete sijui Leo kwangu kesho, hebu kuwa seriously basi na kumuheshimu Mungu hata kidogo, we unaona alichokuwa anafanya ni sawa!?
 
Changa tu ndugu.Amekwisha fariki hawezi kujibu maswali yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…