Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Hapo huchangii akawekewe kalio. Bali unachangia mwili wake urudishwe waje kuuzika.

Yeye akiwa hai alifanya upuuzi sawa. Ila ameshafariki, huyo si yeye tena. Ni kasha lake.
Ni Sawa lakini Kwa nn wasichukue zile pesa alizokua ametenga Kwa ajili ya surgery ndio zifunike kuliko kuchangisha watu

Acha Azikiwe uturuki
 
Uturuki na nchi zingine ziweke sheria ya raia wa kigeni wanaokwenda Uturuki ama nchi zingine kwa ajili ya kufanya surgery kuwepo na kiasi cha fedha watoe cha kuweza kuwarudisha nchini kwao iwapo watafariki dunia.
 
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.


View attachment 2980428
Hii huduma si inapatina hapahapa mlogamzila? Kilichompeleka huko ni nini ? Wakirudi huku na tako ndio wanamtingisha mmakonde wa watu aliyekuja dar kwa music. Wamzike hukohuko
 
Huyo anaetaka azikwe nyumbani sindio akamlete sasa?
Kama hana pesa atachangiwa na wanaomuheshimu. Mazishi ni kama harusi tu, wewe ni mvuta bangi, huna marafiki wenye pesa, baba na mama yako wanaheshimika, wanaitisha mchango, harusi yako inafanyika sio kwa sababu yako bali sababu ya wazazi wako.
 
Tuuoombe ubalozi utusaidie sio wanakula hela za nchi mambo muhimu kama haya pia wahusike
 
Back
Top Bottom