Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Classmate kazingua man...☹️Huyo si classmate?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Classmate kazingua man...☹️Huyo si classmate?
Mungu kwa wote mapema sana kumuhuku mtu.
Nilikua nakuheshimu sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu leo kwangu kesho kwako. Today is me tomorrow is someone. Wee changa tu dada yetu mtanzania mwenzetu arudishwe nyumbani apumzike.
Jibu la kibabe sana hili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂We usimchangie au umchangie maiti haina shida na mchango wako, mtu akishakufa hana kauli tena kwaiyo mliobakia ndo mtafanya maamuzi izo sio shida zake ye keshamalizana na Dunia.
We mbaguzi!Classmate kazingua man...☹️
Vipi kama alienda kupunguza unene uliopitiliza?Hakuna kitu kama hicho, uongezee makalio ufie huko kwa shetani then ulete sijui Leo kwangu kesho, hebu kuwa seriously basi na kumuheshimu Mungu hata kidogo, we unaona alichokuwa anafanya ni sawa!?
Mil 11 nyingi sana hawawezi kupata.. Waliwahi omba wamchangie gari TZ sweetheart nasikia walipata Mil 1.Wamzike tu huko huko.....
Hahaha umemix mkuuKwani ajali kapata kwenye tukio la kujirekodi akifilimbwa kwenye ndogo?
Unajuaje alitubu na kuacha zile mambo?
Kwa niaba yake huyo Mgelasi,The Mogolian savage and trouble maker MaghayoNilikua nakuheshimu sana mkuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂