Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.

View attachment 2980428
Unamkomoa marehemu au? Hapo kutokumchangia kunawaumiza ndugu zake marehemu hakimgusi kwa chochote.Mtu kishafariki kuhusu mwili wake tunafanya kwa ajili yetu na kwa ajili ya ndugu ZAKE.
 
Totoo maswali gani haya, hebu njoo huku tuongee nimekumiss
😂😂 nyie wakaka wa Dar mnafanya mpk ndugu zetu wanaenda Turkey ili wawe na calio kubwa, kumbe deep down mnapenda slim girls with some nyash nyash

Miss You pia, uko poa na hali yako?
 
Hayasikiki 🤣🤣🤣
Na hatuyapendi 🙊
Mi nachojua mnajielewa, Ila kuna wengine wanawaona wakazi wa wadudu city ni washamba sana 🤣🤣
Unasemaje hapoooo.......
 
Kwani kazi ya calio kubwa ni nini huko Dar? Haya mambo huwezi kuyasikia huko Misungwi
Dar ardhi yake ni ya kichanga though uchimbaji wa vyoo imara limekua tatizo la kudumu.

Watoto wanazaliwa na wanakukua wakichezea kinyesi na kama unavojua mazoea ujenga tabia na tabia ni...............................

Watoto wa Dar wanachezea saaaana mbolea
 
Wangesema tu amefia huko kuanza kusema kilichompeleka wameharibu
 
Mi nachojua mnajielewa, Ila kuna wengine wanawaona wakazi wa wadudu city ni washamba sana 🤣🤣
Unasemaje hapoooo.......
Wanatuonea wivu tu 🤣🤣
Kila kiumbe hai ni mshamba kwenye eneo fulani.
Achana na hao wadudu machawa.. hawa spesho case hata me siwawezi.
 
Muwe mnasoma maandiko yasema.
ACHENI WAFU WAZIKE WAFU WAO...
 
Kwani kazi ya calio kubwa ni nini huko Dar? Haya mambo huwezi kuyasikia huko Misungwi
Kuyatwanga makofi wah wah wakati wa kuyazagamu.
Halafu huwa yanaleta ashki majinun wakati wa kubandua hasa linapokuwa linagonga tumboni na kunesa kama tube ya gari.
 
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.

View attachment 2980428
Hivi wanawake wana nini lakini jamani? Mbona wana akili za kiquma kiasi hiki?
 
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.

View attachment 2980428
Mtu akifa budi azikwe kwa heshima bila kujali amekufaje. Wewe kama hutaki sawa lakini haimaanishi wewe ni muadilifu.

Tukisema tuhoji kila kifo hakika hatutachangiana. Mfano wewe unayedai huwezi changa ikitokea na wewe umekufa kwa matatizo ya figo yaliyotokana na ulevi nawe tusikuzike? Au umekufax kwa tatizo la kansa ya mapafu kwa uvutaji wa sigara nawe usichangiwe au una tabia ya kuwalawiti wanawake baadae ufe kwa tatizo la kuziba mirija nawe usizikwe?
Watu wote ukiwemo wewe wanafanya mambo ambayo si sahihi ila wanatofautiana tu wanachofanya.
 
Amberrutty nae naskia anaomba msaada wa watanzania juzi kapata ajali
 
Attachments

  • official_lulu8_171481868385635.mp4
    392.1 KB
Back
Top Bottom