Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.

View attachment 2980428
Angerudi salama hawa ndo huwa wanasema " nilianza biashara na mtaji wa elfu 40
 
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.

Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.

Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.

View attachment 2980428
Ila watanzania mna upendo sana...mtu maarufu akiumwa mnamchangia..mdada kama huyu naye mnamchangia..
 
Back
Top Bottom