Ni Sawa lakini Kwa nn wasichukue zile pesa alizokua ametenga Kwa ajili ya surgery ndio zifunike kuliko kuchangisha watuHapo huchangii akawekewe kalio. Bali unachangia mwili wake urudishwe waje kuuzika.
Yeye akiwa hai alifanya upuuzi sawa. Ila ameshafariki, huyo si yeye tena. Ni kasha lake.
Hii huduma si inapatina hapahapa mlogamzila? Kilichompeleka huko ni nini ? Wakirudi huku na tako ndio wanamtingisha mmakonde wa watu aliyekuja dar kwa music. Wamzike hukohukoMmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini??
Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania.
Nataka kujua hivi hizi surgery uturuki ni shingapi?? Mbona kama sielewi hapa? Naskia sikuizi harambee kama hizi wanazitilia mkazo maana michango ukituma chench itakayozid ni Yao.
Kwa upande wangu siwez KUMCHANGIA mtu aliefia uturuki kwenye surgery ya kuongezea makalio, alikufa katika harakati za kumkosoa Mungu, HICHO NDICHO ANACHOSTAHILI AZIKWE HUKOHUKO.
View attachment 2980428
Michango tena!Mkuu leo kwangu kesho kwako. Today is me tomorrow is someone. Wee changa tu dada yetu mtanzania mwenzetu arudishwe nyumbani apumzike.
Kama hana pesa atachangiwa na wanaomuheshimu. Mazishi ni kama harusi tu, wewe ni mvuta bangi, huna marafiki wenye pesa, baba na mama yako wanaheshimika, wanaitisha mchango, harusi yako inafanyika sio kwa sababu yako bali sababu ya wazazi wako.Huyo anaetaka azikwe nyumbani sindio akamlete sasa?