Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili,
Mpuuzi kweli, Mbowe anahusika vipi na uhai wa mtu? Lissu yupo hai kwa sababu ya Mungu. Alikuwa afe eneo la tukio, Mbowe hakuwa Final say kwenye uhai wa Lissu. Lissu kwa miaka Mingi ndiye aliyekuwa anaifanya CDM kuwa Relevant!
 
Ikinyesha utajua wapi panavuja.
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko.

It is a matter of time!

Afadhali kumfadhili mbuzi utamla Nyama kuliko kumfadhili binadamu.

Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili, leo uchu wa madaraka amesahau kuwa anaishi kwa vile Mbowe aliwajibika! Anamkandia Mbowe! Anamsingizia Mbowe mambo machafu...

View attachment 3182200

Nguo za Lisu zenye damu zimebebwa na Mbowe
Aliyeongoza miaka 20 na bado anataka kuendelea kuongoza na anayetaka kuongoza sasa kwa yupi ana uchu wa madaraka?
 
Kwanini baadhi wa wafuasi wa chama cha demomrasia na maendeleo, hawataki demokrasia?
Rudini nyuma mjitafakari mnataka nini.

Lisu alichukua fomu ili AGOMBEE, sasa mlitaka AGOMBEE na nani kama,siyo Mbowe?

Hao mliowataka wagombee na Lisu wako wapi au wamekatazwa kuchukua fomu?

Mbowe, Mbowe, Mbowe !?
 
Unazani viongozi hao hawana hata viburudisho sisiem? Au sisiem hawana chadema ? Kuwa upinzani sio uhasama.
 
Mpuuzi kweli, Mbowe anahusika vipi na uhai wa mtu? Lissu yupo hai kwa sababu ya Mungu. Alikuwa afe eneo la tukio, Mbowe hakuwa Final say kwenye uhai wa Lissu. Lissu kwa miaka Mingi ndiye aliyekuwa anaifanya CDM kuwa Relevant!
ukishaanza na matusi nami nakujibu kwa matusi kwanza kabla ya kukupa my answer to you response ....I will first tackle your abusive language!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sio kwamba wanamuogioa Lissu kwahiyo wanataka kuweka majibu yasio unguza
 
Hata wewe ni chawa wa Lissu ndiyo maana huuoni ukweli.

Pia, nje ya key board huna msaada wowotw kwa huyo Lissu wako, hata kura huwa hupigi.
Ukiniita hivyo sikulaumu. Kuna nyuzi nyingi humu nimewahi mkosoa Lissu. Mbowe ni pandikizi.
 
Kwanini baadhi wa wafuadi wa chama cha demomrasia na maendeleo, hawataki demokrasia?
Rudini nyuma mjitafakari mnataka nini.

Lisu alichukua fomu ili AGOMBEE, sasa mlitaka AGOMBEE na nani kama,siyo Mbowe?

Hao mliowataka wagombee na Lisu wako wapi au wakekatazwa kuchukua fomu?

Mbowe, Mbowe, Mbowe !?
Wajinga kweli.Itakua wana mashaka na mgombea wao ndo maana wanataka apite bila ushindani.Wanakazania kusema chadema itakufa wanasahau ata watu wanakufa.Mihemko ni mingi sana kwao.
 
Hata wewe ni chawa wa Lissu ndiyo maana huuoni ukweli.

Pia, nje ya key board huna msaada wowotw kwa huyo Lissu wako, hata kura huwa hupigi.
Ukiniita hivyo sikulaumu. Kuna nyuzi nyingi humu nimewahi mkosoa Lissu. Mbowe ni pandikizi.
 
Wajinga kweli.Itakua wana mashaka na mgombea wao ndo maana wanataka apite bila ushindani.Wanakazania kusema chadema itakufa wanasahau ata watu wanakufa.Mihemko ni mingi sana kwao.
Hawa mtaki Mbowe, ni sawa ni haki yao, na ndio maana ya uchaguzi, kuna wagombea zaidi yammoja, chagueni mumpendaye, hilo hawataki wao wanataka Mbowe ajitoe, Lisu abaki peke yake. Sasa huo ni uchaguzi wa aina gani?

Mbowe asigombee, ili nani agombee, Lisu asiwe na mshindani?
 
Back
Top Bottom