Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

Ikinyesha utajua wapi panavuja.
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko.

It is a matter of time!

Afadhali kumfadhili mbuzi utamla Nyama kuliko kumfadhili binadamu.

Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili, leo uchu wa madaraka amesahau kuwa anaishi kwa vile Mbowe aliwajibika! Anamkandia Mbowe! Anamsingizia Mbowe mambo machafu...

View attachment 3182200

Nguo za Lisu zenye damu zimebebwa na Mbowe
Ndugu
Umeiweka wapi akili yako??
Mbona too low kiwango hiki?
 
Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili

Lissu yupo hai kwa sababu yule anayetoa na kuchukua uhai ni Mungu pekee...

Siasa zisitufanye watu tupumbazike akili...
 
Ndugu
Umeiweka wapi akili yako??
Mbona too low kiwango hiki?
Hii ndio sababu siku hizi siwaamini kabisa binadamu.

Unaweza kumwona/kumsoma mtu kwa miaka mingi na kujiaminisha kuwa ni mtu smart sana, kumbe ni suala la maslahi yake kuguswa tu anageuka kuwa mtu wa ajabu kabisa! Ndio yale ya akina Kabudi, Kafulila nk.
 
Huyu mzee amenishangaza sana.
Anatumia akili yake yote ikiyosalia kupambana dhidi ya demokrasia
 
Huyu mzee amenishangaza sana.
Anatumia akili yake yote ikiyosalia kupambana dhidi ya demokrasia
Ni ajabu, ni kati ya watu niliowaamini humu kipindi cha nyuma. Nguvu anayoitumia humu kumpambania Mbowe huku akijiexpose ni kubwa sana
 
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu
Ulitaka Lisu amfunge kamba Msigwa asihamie ccm?

Ila wewe mzée soon utaugua kisukari kwasabb ya Lisu.

Inaelekea Lisu amewashika pabaya machawa wote wa Mbowe .
 
Ikinyesha utajua wapi panavuja.
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko.

It is a matter of time!

Afadhali kumfadhili mbuzi utamla Nyama kuliko kumfadhili binadamu.

Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili, leo uchu wa madaraka amesahau kuwa anaishi kwa vile Mbowe aliwajibika! Anamkandia Mbowe! Anamsingizia Mbowe mambo machafu...

View attachment 3182200

Nguo za Lisu zenye damu zimebebwa na Mbowe
NA Lissu akipata uenyekiti MSIGWA anarudi CHADEMA
 
Mpuuzi kweli, Mbowe anahusika vipi na uhai wa mtu? Lissu yupo hai kwa sababu ya Mungu. Alikuwa afe eneo la tukio, Mbowe hakuwa Final say kwenye uhai wa Lissu. Lissu kwa miaka Mingi ndiye aliyekuwa anaifanya CDM kuwa Relevant!
Kwa nini walimpeleka hospitali badala ya kumpeleka madhabahuni akaponyeshwe? Mbowe(na wengine alioshirikiana nao ki mikakati, connections na finances) wasingepigania awahishwe Nairobi Mungu wako huyo angeenda kumponya palepale aliposhambuliwa? Ilikuwaje huyo Mungu akaacha hao majahili wa TISS wammiminie risasi?
 
Back
Top Bottom