Mpuuzi kweli, Mbowe anahusika vipi na uhai wa mtu? Lissu yupo hai kwa sababu ya Mungu. Alikuwa afe eneo la tukio, Mbowe hakuwa Final say kwenye uhai wa Lissu. Lissu kwa miaka Mingi ndiye aliyekuwa anaifanya CDM kuwa Relevant!Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili,
kama nilivyomuoa baba yako kirahisiUsiwe mwepesi hivyo watu watakuoa kirahisi sana.
matusi matusi matusi...jibu hpja, acha matusi matusi matusi....................mbona bab yako ameolewa na LisuWewe ungekuwa Lissu Mbowe angetaka kukuoa ungekubali.
Inategemea unavyochukulia mambo.Ukizoea uchawi na kufichaficha mambo lazima umuone mropokaji.Lissu lako ropo ropo mdomo hauna break .
Aliyeongoza miaka 20 na bado anataka kuendelea kuongoza na anayetaka kuongoza sasa kwa yupi ana uchu wa madaraka?Ikinyesha utajua wapi panavuja.
Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko.
It is a matter of time!
Afadhali kumfadhili mbuzi utamla Nyama kuliko kumfadhili binadamu.
Lisu yuko hai kwa vile Mbowe aliwajibika ipasavyo kukataa Lisu kupelekwa Muhimbili, leo uchu wa madaraka amesahau kuwa anaishi kwa vile Mbowe aliwajibika! Anamkandia Mbowe! Anamsingizia Mbowe mambo machafu...
View attachment 3182200
Nguo za Lisu zenye damu zimebebwa na Mbowe
muulize mama yako kama mimi ni mpuuziMpuuzi kweli,
perfect......Unazani viongozi hao hawana hata viburudisho sisiem? Au sisiem hawana chadema ? Kuwa upinzani sio uhasama.
ukishaanza na matusi nami nakujibu kwa matusi kwanza kabla ya kukupa my answer to you response ....I will first tackle your abusive language!Mpuuzi kweli, Mbowe anahusika vipi na uhai wa mtu? Lissu yupo hai kwa sababu ya Mungu. Alikuwa afe eneo la tukio, Mbowe hakuwa Final say kwenye uhai wa Lissu. Lissu kwa miaka Mingi ndiye aliyekuwa anaifanya CDM kuwa Relevant!
CCM hatumtaki kabisa Lissu, labda aende kwanza chuo Cha siasa za CCM pale Lumumba na baadae Kizota akapikwe kwanza.Lissu lako ropo ropo mdomo hauna break .
Ukiniita hivyo sikulaumu. Kuna nyuzi nyingi humu nimewahi mkosoa Lissu. Mbowe ni pandikizi.Hata wewe ni chawa wa Lissu ndiyo maana huuoni ukweli.
Pia, nje ya key board huna msaada wowotw kwa huyo Lissu wako, hata kura huwa hupigi.
Wajinga kweli.Itakua wana mashaka na mgombea wao ndo maana wanataka apite bila ushindani.Wanakazania kusema chadema itakufa wanasahau ata watu wanakufa.Mihemko ni mingi sana kwao.Kwanini baadhi wa wafuadi wa chama cha demomrasia na maendeleo, hawataki demokrasia?
Rudini nyuma mjitafakari mnataka nini.
Lisu alichukua fomu ili AGOMBEE, sasa mlitaka AGOMBEE na nani kama,siyo Mbowe?
Hao mliowataka wagombee na Lisu wako wapi au wakekatazwa kuchukua fomu?
Mbowe, Mbowe, Mbowe !?
Ukiniita hivyo sikulaumu. Kuna nyuzi nyingi humu nimewahi mkosoa Lissu. Mbowe ni pandikizi.Hata wewe ni chawa wa Lissu ndiyo maana huuoni ukweli.
Pia, nje ya key board huna msaada wowotw kwa huyo Lissu wako, hata kura huwa hupigi.
Hii Ni kauli ya kukataa tamaa baada ya kuwastukia, sasa tufanyeje ili tuipate Tanzania ya asali na maziwa?Hakuna wapinzani Tanzania, Mboye naye ni tapeli jingine tu.
Hawa mtaki Mbowe, ni sawa ni haki yao, na ndio maana ya uchaguzi, kuna wagombea zaidi yammoja, chagueni mumpendaye, hilo hawataki wao wanataka Mbowe ajitoe, Lisu abaki peke yake. Sasa huo ni uchaguzi wa aina gani?Wajinga kweli.Itakua wana mashaka na mgombea wao ndo maana wanataka apite bila ushindani.Wanakazania kusema chadema itakufa wanasahau ata watu wanakufa.Mihemko ni mingi sana kwao.