Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

Hawezi kikatiba au ki connection?yani unamaanisha kuna watu wamemzidi Raisi mamlaka??
Hao jamaa wanafikiri mamlaka ya raisi ni sawa sawa na uenyekiti wa vikoba. Nimewafafanulia vizuri katika post zang tatu yani post namb #16, post namb #20 na post nmb #28. Wako wapi kina Bashiru, Polepole na wengineo waliokuwa wamekita mizizi ndani ya chama na serikali? Mbona wametumbuliwa na hakuna walichofanya mpaka leo kuanzia chamani hadi serikalini. Raisi ni cheo cha mwisho na kwa katiba yetu ndio kabisa anaweza kuamka asubuhi akamtumbua yoyote na kwa muda wowote na alietumbuliwa asimfanye lolote.
 
Hawezi kikatiba au ki connection?yani unamaanisha kuna watu wamemzidi Raisi mamlaka??
Nani kakudanganya kuwa Samia ana full power?
Samia ni Rais kivuli tu.

Na uwezo wa kumtoa sirro Hana huo ni ukweli mchungu.
Waliopo behind wanaelewa nachomaaisha.
 
Hivi vyeo vyote havina maana na tija wakati kuna mfumuko wa bei na hakuna hatua yoyote madhubuti inachukuliwa. We want food. We want to feel something in our fakin stomachs. Stop playing with Tanzanians lives hali ni mbaya.
Nchi gani ambayo vitu ni rahisi na maisha ni mazuri kwa sasa!
 
Ujambazi uko duniani kote no matter what kind of politics they have!

Siasa na Ujambazi havifungamani kabisa.
 
Ujambazi uko duniani kote no matter what kind of politics they have!

Siasa na Ujambazi havifungamani kabisa.
Next time try to read to understand ,wapi nimeongea siasa?,viongozi sio lazima wawe politician's
Ujambazi uko duniani kote no matter what kind of politics they have!

Siasa na Ujambazi havifungamani kabisa.
Upu
 
Hivi vyeo vyote havina maana na tija wakati kuna mfumuko wa bei na hakuna hatua yoyote madhubuti inachukuliwa. We want food. We want to feel something in our fakin stomachs. Stop playing with Tanzanians lives hali ni mbaya.
Hivyo vyeo si kazi yao. Wao wako kwenye ulinzi zaidi. Masuala ya mfumuko wa bei, na misosi muone mwigulu.
 
Kuna Kamanda alikuwa akiitwa Charles Kenyela(kama sijakosea jina la mwisho)... Yule kamanda aliinyosha sana Kinondoni... Sijui alipotelea wapi?
 
Njooni uku mpate maoni toka uku kwa shithole mwingine
 
Nani kakudanganya kuwa Samia ana full power?
Samia ni Rais kivuli tu.

Na uwezo wa kumtoa sirro Hana huo ni ukweli mchungu.
Waliopo behind wanaelewa nachomaaisha.
Ungenambia CDF kwa kiasi fulan ningekuelewa, lkn unaongelea huyu alieshindwa kupambana hata na panya road waliokuwa wanafanya ushenzi katika mtaa wake, ndo leo awe na ubavu wa kushindana na raisi wake ambae mkuu wa majeshi ya ulinzi mwenye nguvu kuliko vyombo vyote vya dola anamtii na yupo tayari kufanya lolote ili kumlinda??! I'm sure your kidding broh.
 
mambo mengine hamyajui muwe mnakaa kimya tu.

ndio nyinyi mnaodanganyanaga rais akiondoka nchi anamkabidhi mkuu wa majeshi.
huyo IGP unayemuona kolo ndiye refarii wa michezo ya ccm,ndio maana akiona ngebe zinavuka mipaka anajibu kama vile.

kama hujui polisi ndio wanaongoza kwa kiburi kwa watawala kuliko taasisi yoyote ya ulibzu usalama unayoijua,kamuulize jk alizira na kuwasusa kabisa polisi baada ya kuona hawatetemeki.
 
Kwa kifupi mambo kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama hayanaga formula,ndio maana hata CDF mpya karushwa Vyeo mpaka kuwa Jenerali na CDF,hivyo wale wote aliokuwa anawapigia Saluti sasa wao ndio wataanza kumpigia Saluti,imeisha hiyo[emoji2]
Mbona CDF hajarushwa cheo ?
Utaratibu ni CDF anatoka kundi la Ma Meja general na somehow bridedia general.

Ki ufupi Meja general ni njia panda ya kuukwaa u CDF na Huwa SI wengi sana.

Sasa au hukuelewa statement za kijeshi kuwa karushwa cheo na kuwa CDF?

Ingemata kama brigedia kurushwa kuwa CDF. Hapo Ina maana aliokuwa anawasaluti ma Meja general ndiyo wataanza kumsaluti
 
Wewe unaongea usilolijua.
Laiti ingekuwa hivyo Samia asingekuwa anfokewa na kugombezwa na sirro kama mtoto mdogo.
 
Ngoja nikwambie... mkuu mkorinto katiba ya Tanzania inampa raisi mamlaka makubwa kuliko mtu yoyote yule nchini. So inategemea na raisi mwenyew aidha ayatumie hayo madaraka hata kama yataumiza wengine au asieyatumie. Ni sawa na wewe leo upewe M80 uambiwe uamue mwenyew cha kuzifanyia hizo hela. So kwa ww unaweza kuamua kununua nyumba, gari, na kuendeleza familia. Lakini kuna mungine atazinywea pombe, achezee kamari na kuhonga madem. Kwahiyo na madaraka ya raisi ni hivyo, yupo atakaeyatumia madaraka hayo hata kwa mambo madogo tu ilimradi akuoneshe yeye ni nani, na yupo mungine hatopenda kuyatumia hayo madaraka kwa huruma wake hata kama ataona umemkosea. Kuhusu swala la CCM hilo hali make sense kwa sababu kama waliiba au hawakuiba tayari mama ndio raisi kwahiyo hata kama siro atakwenda mbele ya vyombo vya habari kudai uchaguzi uliibiwa, ni yeye mwenyew ndio atakaeingia matatani kwa kuruhusu uchaguzi kuibiwa, raisi ana kinga ya kushtakiwa afu ukizingatia mahakama zetu hazina uwezo wala ujanja wa kumfanya lolote lile. Kuwa mwelewa ndugu raisi Samia ni mtu wa Pwani, na watu wa Pwani kihistoria miaka yote toka enzi za Mwinyi huwa hawapenda kufatilia fuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi unavyosema ww kuhusu Siro, ila kama raisi Samia anaamua kuchukulia hii ishu serious, ndugu yang Siro anaweza kutumbuliwa wakati wowote na asifanye chochote.
 
Ulichoandika ni ukweli, sema baadhi hawaujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…