Kwa ushindi wa Tundu Lissu, sasa inabidi Peter Msigwa utafute mwelekeo Mpya wa Kisiasa

Nimeipenda hii
 
Kati a watu walishtushwa na Msigwa kuhamia Ccm ni Mimi! Aliniacha hoi zaidi namna alivyokuwa anawasilisha hoja zake kuiponda CHADEMA ,zilikiwa ni hoja za kitoto Mno ....sasa sijui ataanzaje?! Alokiwa ana mponda Mbowe ,ilhali CCM walitaka Mbowe arudi tena kuongozwa Saccos!
 
Kushindwa kwa Msigwa, na kuhama kwake ndiko kulifungua box la pandora kulikopelekea mwenyekiti kuangushwa. Pengine kwa namna fulani anatakiwa kushukuriwa.
 
Wasndishi wa habari huu ndio wakati muafaka wa kumhoki Msigwa!
 
Hapo kwenye kidemu nimecheka nimekumbuka alivyokuwa anazunguka kwenye majukwaa kuwananga CHADEMA. Sijui yuko wapi sijamsikia diku nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Atakuwa alilamba uteuzi mahala
 
Masikini ushindi wa Lissu umemnyang'anya Msigwa tonge mdomoni kwani Mbowe ndiyo ilikuwa agenda ya Msigwa. Huyu pimbi amechangia watu wafupi kudharauliwa sana.
Chakushangaza unaweza kuta anaendelea kumshambulia Mbowe Licha ya Mbowe kuondoka kwenye kiti.
 
 
Huwezi kujua ni kipi kilimfanya kuhama,pia huwezi kumfundisha siada msigwa
 
Msigwa anarudi CDM,ni suala la muda tu.

Alihama kwa ugomvi wa kuhoji maridhiano tu.
 
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
 
Msigwa anarudi CDM,ni suala la muda tu.

Alihama kwa ugomvi wa kuhoji maridhiano tu.
Ila approach yake ya kuondoka na Siasa Ali/ anazofanya baada ya kuondoka zimemshusha sana thamani yake...licha ya kumtukana Mbowe ,alivuka mipaka aawa anakipaka Chama ambacho miezi michache alikuwa anagombea uongozi wa juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…