Thomson mtau
JF-Expert Member
- May 31, 2024
- 251
- 379
Tuna mkaribisha luhanga mpina bolaz and divas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiiKama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga kwa muda mrefu.
Sasa ndugu Msigwa, Kwa mujibu wa wanaCCM, ulionekana ni kete nzuri kutokana na kumsakama sana Mbowe kwa kumuita kila aina ya majina.
Na siasa zako za kumsakama Mbowe ndio zilifanya CCM uonekane kete muhimu kwao.
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
Alamsiki!
Kati a watu walishtushwa na Msigwa kuhamia Ccm ni Mimi! Aliniacha hoi zaidi namna alivyokuwa anawasilisha hoja zake kuiponda CHADEMA ,zilikiwa ni hoja za kitoto Mno ....sasa sijui ataanzaje?! Alokiwa ana mponda Mbowe ,ilhali CCM walitaka Mbowe arudi tena kuongozwa Saccos!Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga kwa muda mrefu.
Sasa ndugu Msigwa, Kwa mujibu wa wanaCCM, ulionekana ni kete nzuri kutokana na kumsakama sana Mbowe kwa kumuita kila aina ya majina.
Na siasa zako za kumsakama Mbowe ndio zilifanya CCM uonekane kete muhimu kwao.
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
Alamsiki!
Naam,ila namna alivyokuwa ,/anavyoishanbulia CHADEMA inaonesha kabisa anekuwa mjinga!Kushindwa kwa Msigwa, na kuhama kwake ndiko kulifungua box la pandora kulikopelekea mwenyekiti kuangushwa. Pengine kwa namna fulani anatakiwa kushukuriwa.
Mbowe ambaye hata ndani ya ccm bado ana cheo chake.Msigwa alihama kumkomoa Mbowe,
Luhanga Mpina itakuwa karata ya maana sana kwa Kura za Mikoa ya Mwanza,Geita,Simiyu na Shinyanga ni sawa ilivyotokea kwa Shibuda.Tuna mkaribisha luhanga mpina bolaz and divas
Si arejee tu CDMMsigwa nyuma ya Pazia alitamani sana Mbowe ashinde ili aendelee kupata millege sasa hii ya Lisu kushinda ni pigo takatifu sana kwake na sio Msigwa tu kuna na kile kidemu sijui kinani kile kutokea Gaeita.
Msigwa anaenda kupotea milele
Wasndishi wa habari huu ndio wakati muafaka wa kumhoki Msigwa!Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga kwa muda mrefu.
Sasa ndugu Msigwa, Kwa mujibu wa wanaCCM, ulionekana ni kete nzuri kutokana na kumsakama sana Mbowe kwa kumuita kila aina ya majina.
Na siasa zako za kumsakama Mbowe ndio zilifanya CCM uonekane kete muhimu kwao.
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
Alamsiki!
Atakuwa alilamba uteuzi mahalaHapo kwenye kidemu nimecheka nimekumbuka alivyokuwa anazunguka kwenye majukwaa kuwananga CHADEMA. Sijui yuko wapi sijamsikia diku nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chakushangaza unaweza kuta anaendelea kumshambulia Mbowe Licha ya Mbowe kuondoka kwenye kiti.Masikini ushindi wa Lissu umemnyang'anya Msigwa tonge mdomoni kwani Mbowe ndiyo ilikuwa agenda ya Msigwa. Huyu pimbi amechangia watu wafupi kudharauliwa sana.
Nao wakiendelea kumlipa huyo atakuwa ni mfanyakazi hewa.Chakushangaza unaweza kuta anaendelea kumshambulia Mbowe Licha ya Mbowe kuondoka kwenye kiti.
Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga kwa muda mrefu.
Sasa ndugu Msigwa, Kwa mujibu wa wanaCCM, ulionekana ni kete nzuri kutokana na kumsakama sana Mbowe kwa kumuita kila aina ya majina.
Na siasa zako za kumsakama Mbowe ndio zilifanya CCM uonekane kete muhimu kwao.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
Alamsiki!
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga kwa muda mrefu.
Sasa ndugu Msigwa, Kwa mujibu wa wanaCCM, ulionekana ni kete nzuri kutokana na kumsakama sana Mbowe kwa kumuita kila aina ya majina.
Na siasa zako za kumsakama Mbowe ndio zilifanya CCM uonekane kete muhimu kwao.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Sasa hatamu imechukuliwa na Lissu rafikiyo, itakuwaje huko kwenye majukwaa yako ya CCM maana kumsakama Mbowe ndio ilikuwa agenga yako muhimu na sasa Mbowe uliyemsakama yupo pembeni? Kwa maoni yangu inakubidi utafute mwelekeo mpya ili kuendelea kuwashawishi CCM waendelee kukupa safari za kuzunguka huku na kule. Au la, inabidi CCM wakusitiri kwa kukugawia angalau uDC.
Alamsiki!
Ila approach yake ya kuondoka na Siasa Ali/ anazofanya baada ya kuondoka zimemshusha sana thamani yake...licha ya kumtukana Mbowe ,alivuka mipaka aawa anakipaka Chama ambacho miezi michache alikuwa anagombea uongozi wa juu!Msigwa anarudi CDM,ni suala la muda tu.
Alihama kwa ugomvi wa kuhoji maridhiano tu.