The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
kashinda kwa kishindo lakini kakimbilia kambi ya jeshi kujiapisha.View attachment 3531263
Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao umekosa maana katika baadhi ya nchi kama vile Equatorial Guinea, Kameruni, Rwanda, Tanzania, na Uganda. Kwa kuangalia 'ushindi' wa kishindo na kichawa wa Samia, naweza kusema kuwa anakubalika kuliko marais wote ulimwenguni kwa sasa. Tumpe maua yake basi. Samia hoyeee! Uchawa hoyeee! Ushindi wa kimiujiza na kishindo hoyeee!
View attachment 3531264
Ndo kishindo chenyewe cha kushindwa lakini akaishindishiwa kwa kishindo.kashinda kwa kishindo lakini kakimbilia kambi ya jeshi kujiapisha.
Kishindo kilikua kikubwa sana mpaka akawa ana wasiwasi isije ikawa labda ubao wa matokeo umegeuzwa, labda kapata 2/98.kashinda kwa kishindo lakini kakimbilia kambi ya jeshi kujiapisha.
Sasa badala japo ya kupaka mafuta kwa chupa sasa mmeamua kupaka nyaa!View attachment 3531263
Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao umekosa maana katika baadhi ya nchi kama vile Equatorial Guinea, Kameruni, Rwanda, Tanzania, na Uganda.
Kwa kuangalia 'ushindi' wa kishindo na kichawa wa Samia, naweza kusema kuwa anakubalika kuliko marais wote ulimwenguni kwa sasa. Tumpe maua yake basi. Samia hoyeee! Uchawa hoyeee! Ushindi wa kimiujiza na kishindo hoyeee!
View attachment 3531264