Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita.

Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo.

Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi, ukunjaji wa ngumi na ukazaji wa mkono , ila huwezi jua labda kuna staili mpya maalum kwajili ya mataita ya kurusha ngumi kiboss zaidi bila stress wala nguvu nyingi.

kama vipi atafute hata trainer wa mazoezi.

 
Back
Top Bottom