Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani anaenda ulingoni mpaka ajue hizo ngumi?.
 
wewe ni jinsia gani?
Kuanzia kule juu unauliza jinsia tu. Hapa hatuko vitani. Elewa zama hizi,sio zile ulizokua nazo wewe. Zama hizi hakuna kuwindana windana kivita kama zama zenu. Zama hizi mjanja na mchawi ni hela tu. Umeona anaezungumziwa?. Ni ksbb tu ana hela. Vinginevyo ungekuwa wewe umerusha ngumi hiyo ilikuwa bure tu.

Wengi kama wewe waliokomaa na kareti,judo na komfuu wamebaki hivyo wamebweteka,wanasubiri matukio ya kuwasogeza mbele na komfuu zao,wameishia kuvaa matishet makubwa kubwa tu,na kuomba jero ya sigara.

Japo usiingie anga zangu
 
Namkubali sana 2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2. Taita la mataita.

Ila sasa huku ndio kurusha gani ngumi, ngumi anarusha hazina uzito, hata mkono na ngumi hajakaza, tuwe wakweli tu huu ni urushaji hapa anarusha ngumi au anadonyoa?

Yote kwa yote namuomba kama vipi atafute hata trainer wa mazoezi.

View attachment 2125207
Anaboa!
 
Hivi tunaweza kujivunia huyu jamaa kwamba ni mjasiriamali?asingeupata ubunge,angefika hapo alipo?
 
Back
Top Bottom