Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita.

Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo.

Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi, ukunjaji wa ngumi na ukazaji wa mkono , ila huwezi jua labda kuna staili mpya maalum kwajili ya mataita ya kurusha ngumi kiboss zaidi bila stress wala nguvu nyingi.

kama vipi atafute hata trainer wa mazoezi.

View attachment 2125207
hapa hata panya akija atamkimbia ngumi gani hizo
 
Mnamakasiriko mpk kwenye mitandao? umesikia anajiandaa na ngumi na Mwakinyo? Au anafanya mazoezi ya mwili?
 
Back
Top Bottom