Kabudi ndie alieleta Masheria ya ujima kwenye Oil&Gas pamoja na kwenye Madini😭Leo hii Serikali kila kukicha tunalipa fidia kwenye Mahakama za kimataifa kisa yeye kuishauri vibaya na kuja na sheria mbovu kwenye sekta ya madini na mafuta. Mpaka Leo Miradi yote mipya kwenye sekta ya Oil and Gas na ata mining imesimama, Nenda Mtwara utaona jinsi makampuni ya Oil and Gas Yalivyofunga ofisi zao na mitambo yao kutelekezwa , Wakisubiri Mabadiliko ya Sheria kandamizi za Oil and Gas alizozitengeneza Mzee alietolewa Majalalani.Ndege zetu zimepaki Aziendi nje ya Tanzania (Wadeni wetu wanazosubiria wazikamate) kisa masheria aliyotunga huyu Kabudi