Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.

Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Ni aibu mtu mzima kama wewe kuonyesha kihere here kama wadada wa Buza!! Tunataka Ufanisi na Good Governance , Zama za Chama Kimoja, Zama za Kubana Democracy zimeshapitwa na Wakati... Akuna tena tumaini kuwa ipo Siku Tanzania au Africa Kutakuwa na Nchi ya Chama kimoja! Ni Misukule Michache kama Wewe bado inaamini kuwa Tanzania itashinda Kutokomeza mfumo wa Vyama vingi hapa nchini. Pole sana
 
Nasoma tu halafu najiuliza hivi TLS ni chama kingine cha upinzani
Kuna mambo ya ajabu sana nchi hii
Mabishano ya kitoto na nchi inapigwa kila leo
Yaani mnageuka huko mali zinapita huku
Bado mpo kwenye siasa na mpira na betting tu
Acheni hizo
 
Kabudi huyu aliyeshiriki ushirikina wa magufuli wa kikombe cha Madagascar unaona ana akili?
Kabudi ndie alieleta Masheria ya ujima kwenye Oil&Gas pamoja na kwenye Madini😭Leo hii Serikali kila kukicha tunalipa fidia kwenye Mahakama za kimataifa kisa yeye kuishauri vibaya na kuja na sheria mbovu kwenye sekta ya madini na mafuta. Mpaka Leo Miradi yote mipya kwenye sekta ya Oil and Gas na ata mining imesimama, Nenda Mtwara utaona jinsi makampuni ya Oil and Gas Yalivyofunga ofisi zao na mitambo yao kutelekezwa , Wakisubiri Mabadiliko ya Sheria kandamizi za Oil and Gas alizozitengeneza Mzee alietolewa Majalalani.Ndege zetu zimepaki Aziendi nje ya Tanzania (Wadeni wetu wanazosubiria wazikamate) kisa masheria aliyotunga huyu Kabudi
 
Ni aibu mtu mzima kama wewe kuonyesha kihere here kama wadada wa Buza!! Tunataka Ufanisi na Good Governance , Zama za Chama Kimoja, Zama za Kubana Democracy zimeshapitwa na Wakati... Akuna tena tumaini kuwa ipo Siku Tanzania au Africa Kutakuwa na Nchi ya Chama kimoja! Ni Misukule Michache kama Wewe bado inaamini kuwa Tanzania itashinda Kutokomeza mfumo wa Vyama vingi hapa nchini. Pole sana
Ana afya mbovu huyu ya akili.
 
Hivi hii falsafa ya "Kudhibiti" mtu ni uonevu au ni ujinga au nini hasa?

Hakuna kitu kama hicho kisheria

Katiba ya nchi haisemi mwanasiasa "adhibitiwe" sababu tu kakuzidi akili na uwezo wa kisiasa

Wewe kama umezidiwa umezidiwa...acha kutumia government tools and taxes kukusaidia kumuonea aliekuzidi akili

Halafu mnaiongea as if ni "haki" ya huyo mwanasiasa wa hovyo aliepo serikalini kufanya huu mnaoita "udhibiti"

Umezidiwa akili,competition huiwezi sababu huna akili,huna mvuto,huna uwezo kiasiasa,etc unaona heri ukimbilie mali za serikali zikusaidie kuonea aliekuzidi

Wananchi ndio watoa ruhusa...hawakupendi hawakupendi tu....
 
Kabudi ndie alieleta Masheria ya ujima kwenye Oil&Gas pamoja na kwenye Madini😭Leo hii Serikali kila kukicha tunalipa fidia kwenye Mahakama za kimataifa kisa yeye kuishauri vibaya na kuja na sheria mbovu kwenye sekta ya madini na mafuta. Mpaka Leo Miradi yote mipya kwenye sekta ya Oil and Gas na ata mining imesimama, Nenda Mtwara utaona jinsi makampuni ya Oil and Gas Yalivyofunga ofisi zao na mitambo yao kutelekezwa , Wakisubiri Mabadiliko ya Sheria kandamizi za Oil and Gas alizozitengeneza Mzee alietolewa Majalalani.Ndege zetu zimepaki Aziendi nje ya Tanzania (Wadeni wetu wanazosubiria wazikamate) kisa masheria aliyotunga huyu Kabudi
Nyie si ndio mlisema tutashtakiwa MIGA kilikuwa wapi?? Tusisingizie sheria wakati ziko wazi na kinavhopaswa ni utekelezaji, mtu akikutafuta hakosi Sababu
 
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.

Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Huyuyu kabudi ya mhe mungu na juice za magascar? Give me a break
Amesoma sana but last time hakuwa na msaada kwenye hii
 
Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Sawa tusubiri Muda utakavyosema ndani ya huo Muda.

Mwambukusi yupo hadi 2027.

Mzee wa Jalalani hajui kama atafikisha kijiti mwisho wa Cabinet 2025
 
Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Uzuri Kabudi ni mtetezi wa Raslimali za nchi watapatana na Mwakubusi,mitizamo inafanana.
 
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.

Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Unataka mwabukusi abadirikaje yani?

Aache kusimamia haki za watanzania na kuungana na wanyang'anyi wa haki za raia?

Labda sjakuelewa.mkuu hebu nifungue kidogo una.maana gani haswa juu ya andiko lako?
 
Nadhani haya ni maboresho ya kawaida na inahitajika legitimacy ya magufuli ili kushinda 2025.
Hawa ni watu waliokuwa na magufuli na kwa hali ilivyo na mitelezo iliyofanyika ya dp world, kutekwa watu n.k
Lazima tutembee na kivuli cha kaka magufuli.
 
Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Kwa nini alitumbuliwa na Hagaya?.
 
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.

Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu.
Hawa vilaza wa uvccm mna akili mgando sana ,,,,hivi Kuna siku ulienda chooni ukaacha akili zako ukaondoka na mavi kichwani????
 
Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Akisaidiwa na polisi?
 
Back
Top Bottom