Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Jaman naomben ushauli nataka kwenda congo kutafuta tourmaline hapa tz zinalipa na bei ya soko ikoje kwa sasa.
 
Mkuu mshumbusi naomba nikusahihishe hapa... kuna utaratibu wa kupata leseni ya uchimbaji mdogo wa Madini (Primary Mining License) kwa utaratibu ulipo ni ada ya maombi ya leseni husika ambayo ni Tsh 50,000/- ambayo ni non refundable, pili kuna ada ya maandalizi(preparation fee Tsh 50,000/-) na ada ya pango ya mwaka(annual rent- hii inatokana na ukubwa wa eneo husika kila hekta inakost Tsh 80,000/-) hizi ada mbili utazitoa ikiwa itathibitika na kujiridisha kuwa eneo unaloombea leseni halina sababu/ vikwazo vitavyopelekea kukosa leseni ( nitakufafanulia)... Note: leseni ya uchimbaji mdogo haitakiwi kuzidi hekta kumi.
 
Broker license inakua na jina la mtu mmoja tu
 
Biashara ya kununua na kuuza Madini ina leseni mbili ambazo ni Broker License na Dealer Licence, hivyo tuna ma-broker na ma-dealer though mazingira yanabadili majina kama hivyo utasikia gidara mara super dealer n.k
 
Kulingana na hii topic kuwa interested na ni connection pia kwa wanunuzi na masoko kwa pendekezo langu tuanzishe whatsap group kuhusina na biashara na uwekezaji katika sector hii it will take us somewhre
kama unahitaji hilo
tuma number yako kwa 0767334778 kuunganishwa kwenye group la kuhusiana na madini
 
Habari yako mkuu, mimi niko interested kufanya biashara ya madini, napenda kujua ni madini gan mzunguko wake ni rahisi? (Upatikanaji na soko)!
 
Mkuu unafikiri hii information uliyonipa inaweza kumsaidia mtu ambaye haelewi chochote kwenye biashara hii kama mm???
Bado hajaweka info za kutosha hyo anayesema ni mnunuzi wa galena....

Ova
 
madini ya chuma lazima upime yapo kiwango gani then unambie nikuunganishe china na wanunuzi

Habari?
Sikuwa nimeingia humu muda sasa, nimevutiwa Na Hilo soko la Madini ya chuma China. Unaweza kuni pm namba zako Za cm tuongee?
Asante.
 
Mkuu wewe uko wapi?
 
Wakuu naomba kujuzwa. Dhahabu iliyo kwenye muundo wa nugget zina bei sawa kwa gram ukilinganisha na dhahabu hizi wanazozichekecha kwenye makarai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…