muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Mimi nina Mil 5 naweza fanya nini kwenye biashara ya madini na nikapata faida mala dufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mshumbusi naomba nikusahihishe hapa... kuna utaratibu wa kupata leseni ya uchimbaji mdogo wa Madini (Primary Mining License) kwa utaratibu ulipo ni ada ya maombi ya leseni husika ambayo ni Tsh 50,000/- ambayo ni non refundable, pili kuna ada ya maandalizi(preparation fee Tsh 50,000/-) na ada ya pango ya mwaka(annual rent- hii inatokana na ukubwa wa eneo husika kila hekta inakost Tsh 80,000/-) hizi ada mbili utazitoa ikiwa itathibitika na kujiridisha kuwa eneo unaloombea leseni halina sababu/ vikwazo vitavyopelekea kukosa leseni ( nitakufafanulia)... Note: leseni ya uchimbaji mdogo haitakiwi kuzidi hekta kumi.kwanza unaitaji kupata eneo la uwekezaji hili unaweza kupata kama unayo geological serve .... pili unaenda kukata lesseni hapa kwenye uchunguz unaweza kukta hii leseni ya uchunguzi kwa 70000 ... ila leseni ya uchimbaji inafika hadi 900000 ... ilakama umekosa unaweza kuingia ubia na wele wenye leseni kwa makubaliano yenu
Broker license inakua na jina la mtu mmoja tuMkuu me naomba kujua hivi hii broker license moja inaweza kutumiwa na watu wangapi au kubeba majina mangapi?...maana kuna jamaa ameniambia yeye alichukua moja akasajili jina lake na mke wake na akasema ina chukua hata majina matatu.
Au hiyo ilikuwa ni system ya zaman?
Biashara ya kununua na kuuza Madini ina leseni mbili ambazo ni Broker License na Dealer Licence, hivyo tuna ma-broker na ma-dealer though mazingira yanabadili majina kama hivyo utasikia gidara mara super dealer n.kHiyo namba ya simu vipi!? Siyo sahihi ebu itoe vizuri tuwasiliane, tunaweza kufanya kazi ya kuuza nje kama MASTER DEALERS au kama anavyowaita Mshumbusi SUPER DEALERS. Sheria ya Madini inawatambua kama Master Dealers, Asante, funguka ndugu "ehee kumbe".
Upo wap?Natafuta partner wa kuchimba iron ore. Vibali ninavyo
Limestone bora na yakiwango cha juu inapatikana Tanga.Limestone / Chokaa inapatikana wapi?
Habari yako mkuu, mimi niko interested kufanya biashara ya madini, napenda kujua ni madini gan mzunguko wake ni rahisi? (Upatikanaji na soko)!habari jf
kama unaitaji kujua ,kufanya biashara ya madini ndni ya tanzania baasi njoo hapa na uhulize kitut chochote utajibiwa
kwa wanaotakakuwekeza kwenye dhahabu ,madini ya vito ,yaliyo katwa na yasio katwa baasi huu ndio wakati wa kutumia fulsa hii adimu
karibu
Tafuta galena(lead) soko Mimi hapa..ntanunua.Habari yako mkuu, mimi niko interested kufanya biashara ya madini, napenda kujua ni madini gan mzunguko wake ni rahisi? (Upatikanaji na soko)!
Mkuu unafikiri hii information uliyonipa inaweza kumsaidia mtu ambaye haelewi chochote kwenye biashara hii kama mm???Tafuta galena(lead) soko Mimi hapa..ntanunua.
Bado hajaweka info za kutosha hyo anayesema ni mnunuzi wa galena....Mkuu unafikiri hii information uliyonipa inaweza kumsaidia mtu ambaye haelewi chochote kwenye biashara hii kama mm???
madini ya chuma lazima upime yapo kiwango gani then unambie nikuunganishe china na wanunuzi
Mkuu wewe uko wapi?Vyote hvyo nmeshafanya na huwa nanunua dhahabu zangu mwenyewe na kuuza kwa ma broker wakubwa kwa huku kwetu wenyewe wanapeleka dar au Dubai sasa nngependa kujua ukoo wanako uza wenyewe kuna faida gan na n kunahitaj mtaj kias gan ?? Sababu hawaa ma broker au ma superdealer wetu huku hawasemi ukwel !?