Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Mkuu ubahiri ndio chanzo cha utajiri. Ndio maana wachaga, wapare na waha wanatoboa kimaisha kwa sababu ya ubahili wao. Huwezi kutoka kibiashara na kimaisha bila kuendekeza ubahairi mkuu.
 
Hulka hiyo ya ubahiri ndiyo iliyowezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati kupitia waziri wa fedha wakati huo, Mhishimiwa G. Mpango..... Au nakosea ndugu zangu?
Ubahiri mpaka kwenye Serekali😂😂😂😂..... Si ndiyo mkuu?
 
😅😅😅 ila wachaga sio wabahili labda kama ndio anaanza kujitafuta lazima awe na nidhamu ya pesa .
Nidahmu ya pesa ndio watanzania wanaita ubahili. Mimi ni Muha lakini nahitaji sasa nioe mchaga Ili combination ikamilike.
 
Pole mkuu, waha ndio tulivyo nahio dhiki yakwetu ndio tunapambna nayo Ili tuboreshe maisha yetu. Hapana waha hawatekelezi familia bali tunaenda kutafuta huku tukiwa tumeacha familia nyumban, na Ili turudi nyumbani ni either turudi na pesa au irudi maiti.
 
Heri kuishi na mwanamke wa kiha kuliko mwanaume wa kiha hamna maana
Sisi ni bahili nahatutoe pesa hovyo, kwahio kama lengo ni kuhongwa hivyo hovyo kwetu sahau. Kama kula utakula kitachokuwepo lkn kupewa pesa Hilo sahau. Tunajua tukotoka na bahati nzuri zaidi tunajua tunataka kwenda wapi.
 
Hio paragraph ya mwisho ni uongo au anakukejeli kwa kuona kipato chako nikidogo kuliko yeye halafu unatumia vibaya zaidi ya kipato chako.
 
Hakuna Muha anapenda kuomba omba, Muha ndio mtu ambae hawezi Saidia akabaki anaumia moyoni kama atasema hana( haukua kwenye budget yake).
 
Usitufute sisi tu, futa na wasukuma, wahaya, wachaga mkuu.
 
Wewe hutujui waha.
 
Wake zao vipi kuna kijana anataka kuwowa huko...
Kapata mke, waha sio wachoyo hasa kwenye chakula, pia hata mwanamke alale njaa siku 3 hawezi chepuka Bali atamshawishi mumewe ampe hata elfu 10 aanze kuuza mkaa au afungue genge. Mshuri akaoe haraka.
 
Ubahiri mpaka kwenye Serekali😂😂😂😂..... Si ndiyo mkuu?
Kanuni ya utajirisho inasema, hupaswi kutumia zaidi ya kile unachopata. Ukiifuata lazima utabaki na akiba! ... Ni kanuni inayomgusa mtu binafsi, Kampuni Serikali n.k.
 
Kanuni ya utajirisho inasema, hupaswi kutumia zaidi ya kile unachopata. Ukiifuata lazima utabaki na akiba! ... Ni kanuni inayomgusa mtu binafsi, Kampuni Serikali n.k.
Acha waendelee kutumia mpaka wakope kwa ajili ya matumizi ya anasa. Sisi acha tuendelee kuwa mabahili.
 
Si kweli mkuu, waha ndio kabila lililoanza kutumika "Manamba" kwenye mashamba ya mkonge huko Tanga na Morogoro tangu miaka ya sitini. Wengine walihamia Uganda, Sengerema Chato na Buseresere miaka hiyo ya nyuma na walikuwa na tabia ya kujificha.
Iko tofauti kubwa kati ya waha na warundi, ukikaa Kigoma mwaka mmoja utamgundua muha wa Kasulu na Kibondo anavyotofautiana na mrundi au mnyarwanda.
 
Hakuna Muha anapenda kuomba omba, Muha ndio mtu ambae hawezi Saidia akabaki anaumia moyoni kama atasema hana( haukua kwenye budget yake).
Mwamba naongea kitu na uhakika. Waha wanapenda sana kitonga, kamseleleko.
Kati ya watu walionizunguka shamba wanao ongoza kutaka vitu vya bure ni waha. Akijitahidi kununua anataka alipe 25% ya bei halisi wanayo lipa wengine wote.
Nina wafanyakazi waha katika nyakati tofauti kwa miaka 3 sasa. Kuhusu uchafu naona mwenyewe siambiwi.
 
Waha ni mamasta wa ubishi, yupo radhi alale chumba kimoja na shemeji zake kubana gharama za kodi. Familia moja watu sita sijui wanakaaje chumba kimoja, au wengine kwenye dari?
 
Unakuta muha anafanya biashara faida ni 10k per day, lakn kwakuwa hawajuagi kutumbua pesa baada ya miaka 15 utamkuta na nyumba kali. Miaka yote hali viz, havai vizuri na halali pazuri. Ubahili wao ni Extra ordinary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…