Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Miaka ya 2014 boko cha simba kulikuwa porini aisee mpaka watu waliokuwa wanaishi kule tulikuwa tunawashangaa aisee sasa si haba kumechangamka balaa.
 
Sio hivyo tu pia wachaga wanapenda kumiliki vitu vizuri na vya gharama kubwa mtu bahili hawezi kuwa hivyo.
Sasa vitu vya gharama utavimiliki kwa kutumia majani bila pesa?
Huo ubahili unapimwaje kwa mtu asiye na pesa?

Mtu awe na pesa kwanza ndio umpime kama ni bahili. Mimi hapa nilipo kipato cha kawaida unataka nimiliki Prado?
 
Kichwa cha ngurwe cha buku buku, hii hakika ni mpya!🤣🤣🤣
 
Sasa hasimba ulifuata nini kama sio utapeli😄😄😄
Mlipora eneo la saruji mkajikatia vi skwata😂
 
Watu wana maduka na biashara kubwa, unadiriki vipi kumuita Ana kipato duni?
Bila ubahiri haya mabiashara nakubwa atayatoa wapi?

Kaangalie Mchaga anaanza na Duka la Mangi anakomaa hapo hata miaka 20 na hahongi zaidi ya kunywa bia siku moja moja tu tena siku kuu.
 
Sasa vitu vya gharama utavimiliki kwa kutumia majani bila pesa?
Huo ubahili unapimwaje kwa mtu asiye na pesa?

Mtu awe na pesa kwanza ndio umpime kama ni bahili. Mimi hapa nilipo kipato cha kawaida unataka nimiliki Prado?
Prado huwezi miliki, ndio watoto uwe unawavalisha jezi za taifa stars ya Maximo za 3,000/ Manzese?
 
Hawa waha ndio wajasiriamali kamili. Jamaa wanakuja kwa kasi.Najua wapo watakaobisha ila kwa namna wanavyoteka biashara kuanzia zile ndogo mpaka kubwa iwe ni mitaani au masokoni , kwenye miji midogo na mikubwa si mbali watakuwa wanadhibiti asilimia isiyo haba ya mzunguko wa fedha nchini. Nimewashuhudia wengi wakianzia chini hasa na wakaja kuwa wakubwa tu.
 
Ninachowapendea waha na wachaga ni makabila pekee ambayo kijana ukimkabidhi Milioni 3 baada ya miaka mitano anakukabidhi 15M au na zaidi.
Vijana wa makabila mengine ukimpa milioni 3 baada ya Mwaka kauza hadi mbao za fremu. Sababu na visingizio kibao.

Hao watu wana hustle sana. iwe kwebye biashara hata kwenye Elimu hawana masihara.

Mademu wamekuwa wakijaribu kuwapa majina ya kuwatweza wanaponyimwa kuhingwa na kuwapa majina ya Ubahili, roho mbaya lakini hawajali na maisha yao yanainuka siku hadi siku.

Nimejifunza mbinu zao ziko sawa na waarabu na wahundi.
 
🤣🤣🤣 pombe mia mbili dah hyo sehem syo ya kuish ukinywa bia utapgwa zogo waweza jikuta unajamba mpaka ukivua boksa unakuta ilisha unguwa na kutoboka kwa mfulululizo wa vijambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…