Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #141
Unazungumziaje performance ya CBA chini ya Nehemia Mchechu na alivyotoka?
Kumfananisha Kimei na hao vijana wa hovyo ni kumkosea heshima.
Kimei ana maandishi ya Banking on what was wrong on management control wakati bank zinamilikiwa na serikali 100% ukibahatika kuisoma hiyo paper unaona kwanini kulikuwa na haja ya kubinafsisha hizo bank, hata bila ya kuambiwa na donors.
Kimei akiongelea banking seriously kwenye interview zake kabla ya ubunge anaweza justify msingi wa financial products zao na riba zake, anaweza elezea performances za portofolio kadhaa za CRDB kwanini zilifanikiwa or failed with economic justification.
Kimei kaikuta CRDB ina book value isiyozidi tsh 20 billion, kaicha ina asset value ya over trillions; kwa kazi hiyo tu ingekuwa nchi zilizoendelea mshahara wa Kimei ungekuwa over tsh 2 billion kwa mwaka and justifiable.
Yaani Kimei uwezi mfananisha na hao watu ata robo at his peak (sema nae sijui anazeeka ameanza kuongea pumba kidogo toka aingie kwenye siasa, siyo kama yule Kimei wa CRDB).
Hao vijana hawana kitu cha kuonyesha zaidi ya porojo tu na wapambe wa kusifia but non to measure on performance wise.