Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

Unazungumziaje performance ya CBA chini ya Nehemia Mchechu na alivyotoka?
 
Kichwa chenyewe ni cha huyu Madelu aliyeiba jina la kijana wa kisukuma aliyeacha shule ndugu Mwigulu Lameck Nchemba??

Nadhani kichwa kimejaa mavi na sio ubongo kwa comment yako hiyo uzi Upo wazi kabisa mtu kufanya mpaka tafiti unakuja kuongea ujinga wako hapa
 
"Hali ya uchumi inakwenda vizuri Sana"

Baada ya mama kusema anapitia jamiiforums,Kuna nyuzi ukiziona tu unajua mwandishi anataka kusikia simu ya teuzi.

Yani mwigulu Leo amekuwa wa waziri Bora wa fedha kweli?

Sawa mama atauona huu uzi na ata-like.

Ni ngumu kumwelewa Mwigulu kama huna akili
 

Kweli kichwa yako mzee ni lizwazwa unaishi nchi ipi hujui yote hayo
 
Duh tatizo ni mifumo mibovu tu ndio maana tunawaona wako poa ila kwangu siafiki kabisa kama wako juu kwa uelewa wa uchumi
Tatizo hatufanyi utafiti kwa wataalam wetu na shida kubwa kulamba asali itatucost sana, kila kitu kusifia hata pasipo na mpango

Unaishi Tanzania ipi hivi mfano Marekani nayo imelamba Asali kwetu sio wana kubali watu wa mataifa mengine kereng’ende flani unabisha
 
PVC ALUMINIUM
MADIRISHA MILANGO PARTITION BALCONY
tuone kupitia namba hii 0735432020
 
Kweli kichwa yako mzee ni lizwazwa unaishi nchi ipi hujui yote hayo
Nipe ushahidi we mwenye uwezo mkubwa wa kiakili, na siyo mavideo ya YouTube leta website kabisa ya serikali.
 
Naunga mkono hoja
P

Ni hawa hawa wallondolewa kwenye awamu zilizopita kwa ufisadi na kumbuka ni serikali hii hii ya ccm? Kama kigezo cha uaminifu kingeangaliwa katika teuzi hizi sidhani kama wangeteuliwa lakini kwavile watawala wanaangalia maslahi yao tu ndio maana wanalamba asali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…