Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Pipa imekutana na mfuniko naona hata kitambi cha huyo dunga dunga kimeungana vizuri na shepu ya huyo mwana mama🐒
 
Hii Hari inawakuta vijana wengi na watu wazima, unakuta kwenye daladala, inabidi mkae kwa kupeana migongo, sasa unakuta njemba, inajiweka nyuma ya mdada, badala ya kumpa mgongo, na inajikausha kimyaaaa,
Ila kuna wana wake, wanapenda kubambiwa hv, wewe umesimama kwenye daladala, anakuja analazimisha akae mbele yako, na mzigo wake!! Hatari Sana,
 
Back
Top Bottom