Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Mbagala mambo hayo sio mageni na hakuna wa kumshangaa mwingine mana ndio haki za usafiri wetu
 
Daaah aiseee nimejikuta nimecheka sana kwa sauti hapa nolipo, mie ni mkazi wa kimara japo sina hiyo tabia mkuu, ila mwendokasi ni mtihani sana hawa akina dada wenye misambwanda kukusogelea jirani namna hiyo.
[emoji81][emoji81][emoji3]
 
Mwamba kwa umri huo kafeli sana aisee🥹
 
Mimi huwa sielewi unarekodi ili iweje? Wewe unafaidika nini? Haitoshi unaanza kurekodi mpaka sura zao
Wewe pamoja na wale waliolalamika mange kupost video za utupu na kwenda mbali kwakusema wataficha wapi sura zao, lenu moja. Yaani kama kitu sio tabia yako hauwezi kuhofia kukemewa
 
Sijui kwa nini nikionaga hizi video huwa lawama nawaangushia wanawake wenzangu. 🤔
Ndio wahusika wakuu haswa hao maana bila wao kutoa ushirikiano zoezi huwa gumu au kutodumu kwa muda mrefu na wengine ndio huanza hutengeneza wao mazingira, kama ni lawama basi wa kulaumiwa wanawake.
 
Ndo maana sitaki kusimama kwenye daladala
Ht ikitokea labda ni sehemu ndogo sn na gari haina watu ,na sitaki mtu asimame nyuma yangu
Mpo wachache sana wa hivyo, kuna wengine akiona mwanaume nyuma yake anamgusa basi mwanzoni atasogea sogea pembeni ila baadaye akigundua huyo mwanaume hamgusi maksudi ndipo anajiachia tena anamsusia zigo.
 
Back
Top Bottom