Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Mnanidharirisha na kuniweka mtandaoni sio? Hii sio sawa. Mi na familia hiki mlichofanya mnanikosea sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnanidharirisha na kuniweka mtandaoni sio? Hii sio sawa. Mi na familia hiki mlichofanya mnanikosea sana.
Ndo maana sitaki kusimama kwenye daladalaMhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani.
Nunua gari yko privateNdo maana sitaki kusimama kwenye daladala
Ht ikitokea labda ni sehemu ndogo sn na gari haina watu ,na sitaki mtu asimame nyuma yangu
Nunua gari yko privateNdo maana sitaki kusimama kwenye daladala
Ht ikitokea labda ni sehemu ndogo sn na gari haina watu ,na sitaki mtu asimame nyuma yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana sitaki kusimama kwenye daladala
Ht ikitokea labda ni sehemu ndogo sn na gari haina watu ,na sitaki mtu asimame nyuma yangu
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah aiseee nimejikuta nimecheka sana kwa sauti hapa nilipo, mie ni mkazi wa kimara japo sina hiyo tabia mkuu, ila mwendokasi ni mtihani sana hawa akina dada wenye misambwanda kukusogelea jirani namna hiyo.Vijana wote wa kimara ni dungadunga Toka miaka mingi
[emoji81][emoji81][emoji3]Daaah aiseee nimejikuta nimecheka sana kwa sauti hapa nolipo, mie ni mkazi wa kimara japo sina hiyo tabia mkuu, ila mwendokasi ni mtihani sana hawa akina dada wenye misambwanda kukusogelea jirani namna hiyo.
NomaDuuh
Wewe pamoja na wale waliolalamika mange kupost video za utupu na kwenda mbali kwakusema wataficha wapi sura zao, lenu moja. Yaani kama kitu sio tabia yako hauwezi kuhofia kukemewaMimi huwa sielewi unarekodi ili iweje? Wewe unafaidika nini? Haitoshi unaanza kurekodi mpaka sura zao
HahahaMwamba kwa umri huo kafeli sana aisee🥹
Hee unamjua auPeter bwana sasa Ndio kafanya nn hapo
Ndio wahusika wakuu haswa hao maana bila wao kutoa ushirikiano zoezi huwa gumu au kutodumu kwa muda mrefu na wengine ndio huanza hutengeneza wao mazingira, kama ni lawama basi wa kulaumiwa wanawake.Sijui kwa nini nikionaga hizi video huwa lawama nawaangushia wanawake wenzangu. 🤔
Mpo wachache sana wa hivyo, kuna wengine akiona mwanaume nyuma yake anamgusa basi mwanzoni atasogea sogea pembeni ila baadaye akigundua huyo mwanaume hamgusi maksudi ndipo anajiachia tena anamsusia zigo.Ndo maana sitaki kusimama kwenye daladala
Ht ikitokea labda ni sehemu ndogo sn na gari haina watu ,na sitaki mtu asimame nyuma yangu