RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Uzuri dada Ni muelewa kamuachia Jamaa tu ajipoozepo kisha aende na safar zke mbelekwambeleMwamba ana busti, na dada kaona sio kesi, acha jamaa abusti tu..
[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri dada Ni muelewa kamuachia Jamaa tu ajipoozepo kisha aende na safar zke mbelekwambeleMwamba ana busti, na dada kaona sio kesi, acha jamaa abusti tu..
[emoji1787]
Too much [emoji23]Nishawai kushuhufia pia kitendo kama hiki mwaka 2020 katika mwendo kasi maeneo ya Shekilango, alikua ni mwanaume mtu mzima kabisa na dada moja hivi...
Sasa walifika mbali kwani yule mwanaume alitoa hadi dudu kabisa.
Kuvunja ndoa za watu tu, Bora asingeonesha sura tuMimi huwa sielewi unarekodi ili iweje? Wewe unafaidika nini? Haitoshi unaanza kurekodi mpaka sura zao
mhh au ndio weweKuvunja ndoa za watu tu, Bora asingeonesha sura tu
hYaani kama namuona huyo baba speed ya mapigo ya moyo hapo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Eti 'jomoni'
Empty set kabisa
[emoji28][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Iyo sio sababu yenye mashiko,huenda mkewe ni mtumishi wa Umma yupo kigoma kuonana kwa mwaka ni mara mbili tu,napo hapo si lazima mtu uwe na upwiruDaaa,ila hawa watu tusiwe tunawanyima morning glory jamen,haya ni mateso wanapata
duhIyo sio sababu yenye mashiko,huenda mkewe ni mtumishi wa Umma yupo kigoma kuonana kwa mwaka ni mara mbili tu,napo hapo si lazima mtu uwe na upwiru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afu jamaa ana pete ya ndoa khaaaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena hili jamaa linaonekana limelewa na likitambi lake km fuko la chokaa mxxiewwwww
[emoji2][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Sasa wanasikia raha gani? Si ujinga tyuuh, khaah.
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wanasikia raha gani? Si ujinga tyuuh, khaah.
Kama ilivyo kwenye baadhi ya nyumba za ibadaMhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani.
Mwendokasi raha sana ila ukutane na anaetoa ushirikiano hivyo.
Usije jichanganya kwa mlokole mbwatukaji ahisi kuguswa wowowo nyuma atavyogeuka na ngumi hutoamini.