Kwa vita iliyopigwa na Lisu dhidi ya Mbowe, Mbowe kaa kando na jitenge ila usihame chama

Joyce Mukya kubali matokeo sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Tulieni acheni wana chadema wajenge chama chao. Kwa nguvu alizokuwa nazo mbowe haikuwa rahisi kumbandua kitini. Aliamua tu kuacha demokrasia ichukue mkondo wake. Matokeo ni lissu kuibuka mshindi, msimsakame muacheni afanye kazi ya kukijenga chama hicho katika maono mapya. Huu si wakati wa kuandika upupu juu ya chama hicho
 
TAL hajui kusema uongo, Hilo ndio tatizo lake Toka azaliwe. Nasubiria show ya CCM na CHADEMA mwaka huu, Kuna chama mgombea wao atakata pumzi
 
Wee jamaa si ndiye ulikuwa unaongoza kumtukana Lissu humu pia uliamini kwa asilimia mia moja hawezi kushinda? Sasa ameshinda maumivu unayo wewe. Halafu nini kinakuumiza hivyo? Mbona maumivu ni makali?
 
Uchaguzi wa ndani ya chadema umeshafanyika na mshindi amejulikana.
The game is over ndani ya chadema.
Move on retired.
Acha Tundu Antipas Lissu na anaoshirikiana nao waijenge chadema.
#Stronger together.
Wenje ndiye aliyeanzisha hoja ya Join the Chain akiwatuhumu Lema na Lisu kuianzisha ili kumpindua Mbowe hadi hapo ilipotolewa ufafanuzi na Mnyika na baadaye Lema mwenyewe.
 
Hakuna kuhama chama kama mlivyokuwa mnaongea kwa kejeli.. mlishindwa kusoma alama za nyakati. Sasa fanyeni nogwa mkiwa chamani na sio kinyume na hapo. Na hata mkihama hadi Mbowe, hamna madhara maana nyakati ni kitu cha kuheshimu sana.
 
Mkuu bado una homa.Fumba macho nikuombee dua njema upone.πŸ™πŸ˜Ž
 
Ndio maana JPM alipiga marufuku siasa baada ya uchaguzi kwa ujinga ujinga kama huu, uchaguzi ushafanyika na viongozi kupatikana na wameshaanza kazi sasa ya nini kila leo kuendeleza siasa za chuki ndani ya chama?
 
Yote hayo kakuambia nani ama pia ni miongoni mwa mnaotaka kujiengua na kukidhuru chama?Sasa ni muda wa kukiimarisha chama na kuacha kulalamika tuijenge Chadema iliyo bora na imara zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…