Kwa vita iliyopigwa na Lisu dhidi ya Mbowe, Mbowe kaa kando na jitenge ila usihame chama


Asingegombea hayo yangetoka wapi?
 
Ikiwa dhamira yake ni kuhama,najua hana pingu,ila kuhama itatoa tafsiri sahihi zaidi.
 
Kuna watu Nilikuwa nawaheshimi nikiamini wana busara kama Huyu Retired.

Kumbe ni mbaguzi mmoja wa hovyo kabisa. Hakuna busara hapo
 
Iwapo hiyo itaitwa ya mapinduzi je ile ya covid_19 tuiite ya dunia au ya wenyewe kwa wenyewe au ya kimbari?
 
na pia wlisema kuwa alikuwa anshiriki katika mipango ya kuteka wanachadema
 

Kwa hiyo unamshauri asuse chama kwa akina Lissu? Mbona yeye alivyokuwa kiongozi alipewa ushirikiano kikamilifu?
 
Hii ni kweli kabisa, kuisha kwa uchaguzi sio mwisho wa character assassination iliyofanywa na ATL. Heri hata Henche alibalance vizuri sana speech zake. Sioni namna ATL atayamaliza na kundi la Mbowe.
KAA NAO UWAJUE, KUMBE LISU NI POWERMONGER!.........................A person who wields power in a tyrannical or irresponsible fashion. Put in a simple meaning, a person who seeks power in an excessive or harmful way
 
Wewe, siyo Lisu, Lema and Co.Ltd, including Maria "space", Slaa and so many others! Kuna watu hutegemei to behave in such a manner, a rude worthless manner!
Watu tuliowajua na kuwategemea! I am very much disappointed
Mahaba binafsi kwa Mbowe ndiyo yaakutesa na utateseka sana, Mbowe mwenyewe ameshakubali yaishe anaendelea na mishe zake wewe kila siku unaomboleza hapa utafikiri umefiwa na mumeo.
 
This is deep
 
Majeraha ya Uchaguzi hayajatibika bado?

Fundi Mchundo Lusungo Ngongo Retired
It is not a matter of machngu ya uchaguzi, It is how the campaigns were conducted...PURE CHARACTER ASSASSINATIONS! Ni integrity ya watu ilivyokuwa compromised ili kupata so called cheo ( if at all it can be christened cheo)HILI HALIWEZI KUISHA MILLELE! Lisu et al wanajua walipokosea. Siwezi kuongozwa na mtu kama Lisu NEVER!
 
You might be having an episode of Psychiatric case or PTSD, seek some medical care ASAP.
 
Siwezi kuongozwa na mtu kama Lisu NEVER!
Is that the Tundu Lissu's business..?

That's your decision.

Wako viongozi wengi sana wa vyama vya siasa wanaoweza kukuongoza...

➡️Yuko Lipumba na CUF, unaweza kwenda huko Ili uongozwe naye...

➡️Yuko Samia Suluhu Hassan na CCM yake, nenda huko uongozwe naye...

➡️Yupo Zito Kabwe wa ACT WAZALENDO, nenda kwake akuongoze...

➡️Yupo Hashimu Sipunda na CHAUMA yake, nenda kwake akuongoze

## Vilevile unaweza kwenda kwenye familia ya Freeman Mbowe ili uongozwe naye..
 
Ushirikiano gani mfano aliompa Lisu? Kumporomosshea matusi Mbowe akiwa kiongozi kuwa ni mla rushwa,nk ndio kumpa ushirikiano?

Kuwa makini sana na wanasiasa. Siyo mara zote Wanachoongea wanamaanisha. Kama unakumbuka kuna kipindi walimtukana Lowassa kwa muda wa miaka saba wakizunguka huko na huko wakimwita fisadi. Baada ya hapo unajua kilichotokea
 
Kuwa makini sana na wanasiasa. Siyo mara zote Wanachoongea wanamaanisha. Kama unakumbuka kuna kipindi walimtukana Lowassa kwa muda wa miaka saba wakizunguka huko na huko wakimwita fisadi. Baada ya hapo unajua kilichotokea
Sawa Lowassa walimtukana akiwa nje ya chama alikuwa CCM

Lakini hili la makamu mwenyekiti Lisu kumporomoshea matusi boss wake Mwenyekiti wa Chadema Mbowe ni beyond imagination kwa kweli

Mbowe hajatendewa haki kabisa sababu ni mtu wa ndani ya chama na Mwanzilishi

Mzee Mbowe kaonewa sana na Lisu

Ila Lisu ajue kitu kimoja kanda ya kaskazini hata agombee uraisi hatapata kura

Mbowe ndie mwamba wa kaskazini

Na watu wa kaskazini wengi hawapendi dharau au udharau mtu wao wanayemheshimu.Mbowe anaheshimika mno kanda ya kaskazini

Lisu akitaka kuhutubia Kilimanjaro mfano atapata hali ngumu na mahudhurio yatakuwa hafifu mno

Kifupi kura za kanda ya kaskazini keshazipoteza kwa rafu zake alizomchezea Mbowe
 
# Vilevile unaweza kwenda kwenye familia ya Freeman Mbowe ili uongozwe naye
Haya ni matusi, na nimesema siku zote sitaki matusi. Kama unaona huwezi jibu hoja kwa hoja, bali matusi, just skip the business!
Basi nami nasema kwa upole kabisa, Nitakwenda Kwa mama yako aniongoze, kwa Mbowe siendi katu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…