Kwa vita vya Urusi na Ukraine vilipofikia ni muda mwafaka kwa Tanzania kuchagua upaande wa wengi (Westerns) maana Kuna Jambo linaenda kutokea

Kuna nchi hapo zinapata shida kweli kweli katika kutoa msimamo wa upande ambao zinasimama nao. Mfano mdogo ni Israel. Nchi hiyo haikutaka kabisa kuikasirisha Urusi kwa kuchukua upande wa USA kwasababu,Russia kaipa Israel GO AHEAD Kule Syria kushambulia ngome za wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran. Lakini pia Israel ina uhusiano mkubwa Sana na Marekani,hata uwepo wake pale Middle East Ni kutokana na Support kubwa ya Kijeshi na Kiuchumi kutoka Marekani. Hata hivyo,Israel imeamua kuacha unafiki wa kujiita NEUTRAL na kuamua kuunga mkono azimio la UNHRC kuifurusha Urusi lililoletwa na Marekani.

Naona,Baada ya jeshi la Mali kuchukua madaraka kwa njia ya Mapinduzi na kulifurusha jeshi la Ufaransa na baadae kupokea mapiganaji wa Kirusi wa WAGNNER sasa wameamua kuwa upande wa Russia kwa kupinga azimio la Urusi kufurushwa UNHRC.
 
We nae unaakili za chooni so we ilitaka kuwaona nato na us huko congo au hujui kuwa hao nato na us wanawatumia mamluki wao kuvuna hizo mali za afrika ....
na kule mali hujui kuwa ufaransa anahusika huko au unajitoa ufahamu ........
Huenda ni kweli au sio kweli lakini ukweli utajulikana TU.

Hivi Karibuni,Baada ya jeshi la MALI Kuipindua Serikali,imewatimua Wanajeshi wa Ufaransa na EU waliokuwa wakilinda Amani,Wanajeshi hao wameelekea NIGER Baada ya kufukuzwa nchini MALI. Jeshi la MALI limewaleta Mamluki wa WAGNNER kutoka RUSSIA. Ngoja tuone Kama Huko MALI kutapatikana Utulivu na Maendeleo ya Kiuchumi kuliko awali baada ya kufukuzwa kwa Ufaransa na EU.
 
Nchi 15, kati ya zaidi ya 180 ndio upande wa wengi?
 
Jidanganye
 
Wakione kwa nani? Kwanini mnahisi Europe itapoteza? My friend vita hii ni pigo kwa Afrika maana mrusi tunayemuunga mkono anaenda kutandikwa.
🤣🤣🤣 mwezi may Mungu atupe uhai nitarudi kukujibu hii hoja yako. Na wewe unikumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…