TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mkuu vipi tena mada nje ndani ya mada nyingine?Da..hv Africa tutabahatika kupata tena viongozi kama Hawa? Mandela, Ghadafi, Nyerere, Magufuli, nk nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi tena mada nje ndani ya mada nyingine?Da..hv Africa tutabahatika kupata tena viongozi kama Hawa? Mandela, Ghadafi, Nyerere, Magufuli, nk nk
Kuna nchi hapo zinapata shida kweli kweli katika kutoa msimamo wa upande ambao zinasimama nao. Mfano mdogo ni Israel. Nchi hiyo haikutaka kabisa kuikasirisha Urusi kwa kuchukua upande wa USA kwasababu,Russia kaipa Israel GO AHEAD Kule Syria kushambulia ngome za wapiganaji wanaoungwa mkono na Iran. Lakini pia Israel ina uhusiano mkubwa Sana na Marekani,hata uwepo wake pale Middle East Ni kutokana na Support kubwa ya Kijeshi na Kiuchumi kutoka Marekani. Hata hivyo,Israel imeamua kuacha unafiki wa kujiita NEUTRAL na kuamua kuunga mkono azimio la UNHRC kuifurusha Urusi lililoletwa na Marekani.Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka.
Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika.
Kuendelea kujiita nutral state wakaki unaona Kuna watu wanaumia ni hatari kwa baadae.
Serikali ya urusi na washirika wake (beralus n.k) wanaenda kupigwa na kitu kizito muda si mrefu.
Huenda ni kweli au sio kweli lakini ukweli utajulikana TU.We nae unaakili za chooni so we ilitaka kuwaona nato na us huko congo au hujui kuwa hao nato na us wanawatumia mamluki wao kuvuna hizo mali za afrika ....
na kule mali hujui kuwa ufaransa anahusika huko au unajitoa ufahamu ........
JidanganyeMie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka.
Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika.
Kuendelea kujiita nutral state wakaki unaona Kuna watu wanaumia ni hatari kwa baadae.
Serikali ya urusi na washirika wake (beralus n.k) wanaenda kupigwa na kitu kizito muda si mrefu.
🤣🤣🤣 mwezi may Mungu atupe uhai nitarudi kukujibu hii hoja yako. Na wewe unikumbusheWakione kwa nani? Kwanini mnahisi Europe itapoteza? My friend vita hii ni pigo kwa Afrika maana mrusi tunayemuunga mkono anaenda kutandikwa.