Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

Y
Yaani wapinzani ni sibonhwa sana! Watashinda njaa sio uchaguzi!
Mtahangaika sana watanzania wa leo sio wa jana mpaka Ukerewe wana jua lisu Rais mtarajiwa kamueni ndimu mnywe
 
Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba. Maalimu ni mkomavu wa siasa za Tanzania , Membe na Zito pia. Maalim na Membe ni wakaribishwa chamani , mmoja anagombea Bara na mwingine Visiwani.

Kwa mtazamo wangu, ukifanya tathmini ya press ya Membe ya jana km mliielewa vizuri na press ya Maalimu leo km mmeielewa vyema pamoja na kauli za washiriki wa kampeni za CHADEMA, hawa watu wapo kwenye makubaliano mahsusi kabisa yenye lengo kuu pasi shaka yoyote ile na wanajiamini sana. Wanaendelea kuvuruga akili za waliowakusudia na wasiowakusudia ili mambo yaende km yalivyopangwa.

Tatizo wengi wetu huchukulia kauli ya mtu km ilivyozungumzwa na kuanza kuhoji ilhali mzungumzaji huenda ametumia falsafa yake ili kutimiza malengo yake. Wakati ni mwalimu mzuri, tusubiri goli la dk ya 89.

Tujifunze kufikiria nje ya box pia.
 
Kamanda kwa katiba hii ya ACT nani kati ya Membe na Sefu aliyeikiuka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.

Mkuu kwahiyo Membe atabadirisha upepo wa siasa siku moja kabla ya uchaguzi?

Seif kasema wazi kwamba kama Membe anajiona mwamba apige hizo kampeni watu wazione. Sasa wewe unakuja hapa na kitu gani hiki?

Alafu unaposema hizo ni strategy za kuwachanganya Nec na ccm, anawachanganya kwenye lipi mkuu?

Nmeamini upinzani wa nchi hii hovyo kabisa.
 
Ni kwa mujibu wa katiba na taratibu.Unawezaje kuondoa udhamini wa mgombea aliyeteuliwa na NEC au ZEC dogo? Angalia katiba ya ACT uijifunze
 
Soma katiba ya ACT ndio ujue kuwa Zitto na Sefu wameisigina
 
Huwezi kuelewa kwa sasa, subiri
 
Afadhali wewe unayeujua ukweli huu na jinsi upinzani ulivyo wa ajabu. Mara nyingi udhaifu wa upinzani ndio unawapa nguvu sana CCM. Si ajabu kuona hata wagombea wao wanawatoa CCM, wao wenyewe hawawezi kujiimarisha na kuaminiana. Wanawaamini wanaotoka CCM. So confusing!
Soma katiba ya ACT ndio ujue kuwa Zitto na Sefu wameisiginaView attachment 1606357
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…