Uchaguzi 2020 Kwa vituko vya Seif na CHADEMA, hakika upinzani bado sana Tanzania

Mkuu, waarabu wa pemba hao. Subiri picha liishe, utaelewa. Hapo kuna Ngoma ya tokomile inachezwa kwa umahiri wa hali ya juu sana.
 
Mtahangaika sana watanzania wa leo sio wa jana mpaka Ukerewe wana jua lisu Rais mtarajiwa kamueni ndimu mnywe
Maneno ya kwenye kanga hayo. Toka 1985 ndio hayohayo " Watanzania wa leo sio wa jana, wameelimika" siku zinaenda na hao walio elimika hawa hatuoni wanalofanya. Tatizo lenu ni kudhani hao mnaoita "Watanzania wa leo" ni walioko Chadema au upinzani tu. CCM hakuna Watanzania wa leo😂😂
 


Kifupi ni kwamba Tz hakuna vyama vya kisiasa, upinzani hakuna na chama tawala nacho hakuna.--- chama tawala kinatawala kimabavu.
 
Malafyale
 
Ata unachokiongea hukijui kwanini kama una maneno mazuri hutoi kwa chama chako ccm? Huoni vile vitambulisho vyenu feki vimempaisha Tundu Lissu? Uwanja wa ndege chato, ndege mulizonunua mbona hamusimami kwenye majukwaa mukatangaza hizo ndege zenu mumeufyata ata kampeni zimekushindeni.

Mulisema upinzani mara hii hautakuwa na hoja kwa vile mumeleta maendeleo sasa mbona mnapiga magoti kuomba kura? mbona mulitia mpira kwapani mukamfungia Tundu Lissu siku 7 na maalim seif siku 5? kwanini muliengua wagombea kibao wa upinzani tu?

Iyo upinzani kushirikiana na kumuacha mgombea ambaye hana mvuto japo kateuliwa na NECT wewe presha ni ya nini na mgombea wako wa ccm unaye? Membe hakushobokewa alifukuzwa ccm akaomba unachama ACT ata wewe ungekaribishwa, Membe kuja ACT alielezwa kabla asije ACT kwa kusaka urais bali akubaliane na hali halisi itakavyokuwa ili kukabiliana na chama tawala kuondoka madarakani, na kuna siku yeye mwenye alikiri kama chama kitampigia Lissu na yeye ataunga mkono.

Sasa ata akigangamaa anagombea urais ni bure tu, kauli za viongozi wakuu zimetoka wampigie Lissu yeye ataishia ukoko kwenu tu.
 
Wewe una shida....Acha propaganda zako
 
Akili ya mbayuwayu unayo wewe na wajinga wenzako huko CCM huku upinzani hawataki mzaha na huwezi kuwapangia wa kumkana endapo wanamuona anaenda kinyume na matarajio, tarehe 28 Mkoloni kaburu mweusi anakwenda chato na Nchi inapata uhuru kwa mara ya pili baada ya ule uhuru wa mwaka 1961
 
Mkuu usihangaike kuwajibu watengeneza propaganda wa CCM dawa yao ni kuwapiga madongo live mpaka wanakaa wenyewe
 
Tatizo la UVCCM wanajadiliana kwanza kwenye magroup za whatsapp na wanapanga kuja kufungua uzi humu ili wasapotiane!
uvccm wote hichukua ushauri kwa cyprian Musiba na le mutuz ambao ni watu wapumbavu na mbumbumbu Duniani, unategemea nini kama hao ndiyo washauri wao wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…