National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
tupo hapa wa jomba wa hovyo, sie tunakula tushida ni Malezi,mwanamke unatakiwa uwe na staha Kwa sabbu za kimaumbile inatakiwa kuwafundisha watoto kukaa vizuri hata kuvaa pia
wajomba wa ajabu ajabu tupo, wao wake tu uchi uchi waone πππ.. mie mjomba kama mshikaji tu..Wazee mmeamua kabisa mlete kazi na dawa π€£π€£π€£
Kabisashida ni Malezi,mwanamke unatakiwa uwe na staha Kwa sabbu za kimaumbile inatakiwa kuwafundisha watoto kukaa vizuri hata kuvaa pia
Wajomba wa hovyoπ€£wajomba wa ajabu ajabu tupo, wao wake tu uchi uchi waone πππ.. mie mjomba kama mshikaji tu..
Katombwe
tunakula tu, watoto wenyewe wa siku hizi wamenona sana tena hutumii gharama maana hao unalia humo humo ndani na msosi anakula wa homeWajomba wa hovyoπ€£
Hakika, mtoto anavaa nusu uchi anaangaliwa tu, akija kuwa binti mkubwa anaona sawa tu, kumbe nundu limeshaota, kifua kimejaa, mwisho wake ni kuweka watu kwenye mitego.shida ni Malezi,mwanamke unatakiwa uwe na staha Kwa sabbu za kimaumbile inatakiwa kuwafundisha watoto kukaa vizuri hata kuvaa pia
Kumbuka mwanaume anashawishika sio kwa hisia, bali kwa macho. Unavyovaa ndivyo chances za kuzidi kimvutia Me zitaongezeka au kupungua.Mavazi siyo sababu ya mwanaume kubaka, kumnyanyasa kijinsia mtoto wa kike.
Acheni kupotosha na tamaa zenu, kwenye maonyesho moja ya unyanyasaji wa kijinsia, kuliwekuwepo na nguo ya mtoto wa miaka 2.
Wakasema wazi mtoto wa miaka 2, anahamasishaje mwanaume kuweza kumbaka? Kuanzia nguo na maumbile yake?
Ikahitimishwa nguo siyo kigezo, ni akili za mwendawazimu tu ndiyo anaweza kubaka.
Upande wangu navaa navyojisikia, nitakavyopenda. Ukishawishika utajijua mwenyewe mimi kwa raha zangu...
[emoji16][emoji16]Hakuna hata kapicha kakusindikizia Uzi?
Wazee wa Economies of Scaletunakula tu, watoto wenyewe wa siku hizi wamenona sana tena hutumii gharama maana hao unalia humo humo ndani na msosi anakula wa home
hawa wanapinga tu, ila siku wakibakwa kutokana na mavazi yao ndio watakumbuka uzi wa mleta madaKumbuka mwanaume anashawishika sio kwa hisia, bali kwa macho. Unavyovaa ndivyo chances za kuzidi kimvutia Me zitaongezeka au kupungua.
Mavazi kwa watoto ni muhimu yaangaliwe, hasa kunapokuwa na halaiki ya watu, tuwafunze kuvaa kwa stara. Hivi unavaaje chupi na khanga unapita mbele za watu?
tuna cut cost tuu.. home sweetWazee wa Economies of Scale
ππ na lile jicho lako anakula anafaidi wajameni huku umemuwekea guu la bia.. enjoy mtoto mzuri
Huo ni uongoo tyuuh, tamaa zinawatuma, na sio mavazi.
πππ na lile jicho lako anakula anafaidi wajameni huku umemuwekea guu la bia.. enjoy mtoto mzuri
eeh kuna watu wana bahati hapa duniani, hasa anaekukula wewe yaani mlie bond nae ana bahati kweli kweliπππ