Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

If you can control your sexual appetite you can control anything hivyo hiyo ni yako mzee Kuna watu wanategwa zaidi ya hapo sema wanachomoa kwaiyo hio ni kwako na baadhi ya weak men mkuu mbona mi ishanitokea Sana kipindi flani nikawa nachomoa tu hivyo usijidekeze mkuu
 
Binam
 

Attachments

  • 279694292_507386781066332_2261573764661949034_n.jpg
    144.4 KB · Views: 11
Sawa dada angu
 
Hahahaha... noma sana, wanawake wanaotetea ilo suala wangepata nafasi ya kuwa wanaume hata kwa dakika moja tu na kupata uzoefu wa iyo situation nafikiri wangeelewa vizuri
 
Weak men!!..wewe unayetegwa na huoni tatizo ndiyo weak man,sisi wengine tukiona underskirt tu imeanikwa chuma kinasimama
 
Hata humu wapo mzee. Pia kuna wazazi/wakina dada ambao wanaweza kuwaonya mabinti/wadogo zao kuhusu ilo. Alafu kule facebook identity zinajulikana mkuu
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…