Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

"Anko kaletewa homework chumban" [emoji848][emoji116]
images-1139.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoka room unakatiza sebleni ghafla unakutana na mtu ana bonge la tako limefungwa mtandio mwepeeesi hadi chupi inaonekana limejilaza kwenye Kochi kuchunguza vizuri huyu ni nani kumbe mtoto wa sister, TV inaendelea kupiga Trace mziki huku yeye kalala tu tena kajipanua kabisa, ooooyi nyie sikieni tu yasiwakute hayo ya uzungu waachieni wazungu huko
If you can control your sexual appetite you can control anything hivyo hiyo ni yako mzee Kuna watu wanategwa zaidi ya hapo sema wanachomoa kwaiyo hio ni kwako na baadhi ya weak men mkuu mbona mi ishanitokea Sana kipindi flani nikawa nachomoa tu hivyo usijidekeze mkuu
 
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili.

Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa kaka zangu na dada zangu ambao niliwabeba wakiwa watoto wachanga kwa sasa ni mabinti wakubwa. Mmoja yupo chuo first year, mwingine kamaliza form 4 na mwingine yupo form 2.

Hawa mabinti sasa sijui ndo kulelewa kizungu na mama zao au vipi kwa kweli kujiachia kwao ni too much unakuta kavaa kimini alafu kalala subureni, sometimes unaingia subureni wamekaa mikao ya hatari mpaka chupi zipo wazi kabisa unalazimika kubadilisha njia.

Mara mwingine kapiga kanga moko alafu kwa maumbo yetu ya kibantu anavyotetema pale chini ya mgongo ni hatari, kwa kweli watoto wanahamasisha ningekua uncle wa ovyo uenda ningejaribu kufanya jambo 😀😀😀.

Wadogo zangu wa kike na wakina dada wote, tunajua sheria za masuala ya mapenzi na mahusiano zinawalinda sana ila sasa isifike hatua mkafanya abuse au ku-act childish.

Tambueni na wanaume pia wana hisia. Ni kitu kibaya kwa mwanamke kufanyiwa kitendo cha unyanyasaji wa kingono ila jichunge wewe mwanamke mwenyewe usiwe chanzo cha kufanyiwa hicho kitendo.
Binam
 
Attachments

  • 279694292_507386781066332_2261573764661949034_n.jpg
    279694292_507386781066332_2261573764661949034_n.jpg
    144.4 KB · Views: 11
Mavazi siyo sababu ya mwanaume kubaka, kumnyanyasa kijinsia mtoto wa kike.
Acheni kupotosha na tamaa zenu, kwenye maonyesho moja ya unyanyasaji wa kijinsia, kuliwekuwepo na nguo ya mtoto wa miaka 2.

Wakasema wazi mtoto wa miaka 2, anahamasishaje mwanaume kuweza kumbaka? Kuanzia nguo na maumbile yake?
Ikahitimishwa nguo siyo kigezo, ni akili za mwendawazimu tu ndiyo anaweza kubaka.
Upande wangu navaa navyojisikia, nitakavyopenda. Ukishawishika utajijua mwenyewe mimi kwa raha zangu...
Sawa dada angu
 
Unatoka room unakatiza sebleni ghafla unakutana na mtu ana bonge la tako limefungwa mtandio mwepeeesi hadi chupi inaonekana limejilaza kwenye Kochi kuchunguza vizuri huyu ni nani kumbe mtoto wa sister, TV inaendelea kupiga Trace mziki huku yeye kalala tu tena kajipanua kabisa, ooooyi nyie sikieni tu yasiwakute hayo ya uzungu waachieni wazungu huko
Hahahaha... noma sana, wanawake wanaotetea ilo suala wangepata nafasi ya kuwa wanaume hata kwa dakika moja tu na kupata uzoefu wa iyo situation nafikiri wangeelewa vizuri
 
If you can control your sexual appetite you can control anything hivyo hiyo ni yako mzee Kuna watu wanategwa zaidi ya hapo sema wanachomoa kwaiyo hio ni kwako na baadhi ya weak men mkuu mbona mi ishanitokea Sana kipindi flani nikawa nachomoa tu hivyo usijidekeze mkuu
Weak men!!..wewe unayetegwa na huoni tatizo ndiyo weak man,sisi wengine tukiona underskirt tu imeanikwa chuma kinasimama
 
Hata humu wapo mzee. Pia kuna wazazi/wakina dada ambao wanaweza kuwaonya mabinti/wadogo zao kuhusu ilo. Alafu kule facebook identity zinajulikana mkuu
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
 
Back
Top Bottom