BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Big up sanaaaaaaashida ni Malezi,mwanamke unatakiwa uwe na staha Kwa sabbu za kimaumbile inatakiwa kuwafundisha watoto kukaa vizuri hata kuvaa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up sanaaaaaaashida ni Malezi,mwanamke unatakiwa uwe na staha Kwa sabbu za kimaumbile inatakiwa kuwafundisha watoto kukaa vizuri hata kuvaa pia
If you can control your sexual appetite you can control anything hivyo hiyo ni yako mzee Kuna watu wanategwa zaidi ya hapo sema wanachomoa kwaiyo hio ni kwako na baadhi ya weak men mkuu mbona mi ishanitokea Sana kipindi flani nikawa nachomoa tu hivyo usijidekeze mkuuUnatoka room unakatiza sebleni ghafla unakutana na mtu ana bonge la tako limefungwa mtandio mwepeeesi hadi chupi inaonekana limejilaza kwenye Kochi kuchunguza vizuri huyu ni nani kumbe mtoto wa sister, TV inaendelea kupiga Trace mziki huku yeye kalala tu tena kajipanua kabisa, ooooyi nyie sikieni tu yasiwakute hayo ya uzungu waachieni wazungu huko
Yaani unabishana na wanaume kuhusu uanaume? Vaa vizuri eboo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mavazi sio sababu hata.
Ebooooo nn?? Nasema ukweli acheni tamaa.Yaani unabishana na wanaume kuhusu uanaume? Vaa vizuri eboo!
Uhuru ni wetuuu, nishindwee kujiachia kisa anko? Apambane na tamaa zake lolHawatokuweza wewe ndio wale wale wasemwao,yaani we unaona nguo haziwezi kushawishi......daah! Endeleeni ni uhuru wenu
BinamKama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili.
Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa kaka zangu na dada zangu ambao niliwabeba wakiwa watoto wachanga kwa sasa ni mabinti wakubwa. Mmoja yupo chuo first year, mwingine kamaliza form 4 na mwingine yupo form 2.
Hawa mabinti sasa sijui ndo kulelewa kizungu na mama zao au vipi kwa kweli kujiachia kwao ni too much unakuta kavaa kimini alafu kalala subureni, sometimes unaingia subureni wamekaa mikao ya hatari mpaka chupi zipo wazi kabisa unalazimika kubadilisha njia.
Mara mwingine kapiga kanga moko alafu kwa maumbo yetu ya kibantu anavyotetema pale chini ya mgongo ni hatari, kwa kweli watoto wanahamasisha ningekua uncle wa ovyo uenda ningejaribu kufanya jambo 😀😀😀.
Wadogo zangu wa kike na wakina dada wote, tunajua sheria za masuala ya mapenzi na mahusiano zinawalinda sana ila sasa isifike hatua mkafanya abuse au ku-act childish.
Tambueni na wanaume pia wana hisia. Ni kitu kibaya kwa mwanamke kufanyiwa kitendo cha unyanyasaji wa kingono ila jichunge wewe mwanamke mwenyewe usiwe chanzo cha kufanyiwa hicho kitendo.
Sawa dada anguMavazi siyo sababu ya mwanaume kubaka, kumnyanyasa kijinsia mtoto wa kike.
Acheni kupotosha na tamaa zenu, kwenye maonyesho moja ya unyanyasaji wa kijinsia, kuliwekuwepo na nguo ya mtoto wa miaka 2.
Wakasema wazi mtoto wa miaka 2, anahamasishaje mwanaume kuweza kumbaka? Kuanzia nguo na maumbile yake?
Ikahitimishwa nguo siyo kigezo, ni akili za mwendawazimu tu ndiyo anaweza kubaka.
Upande wangu navaa navyojisikia, nitakavyopenda. Ukishawishika utajijua mwenyewe mimi kwa raha zangu...
Hahahaha... noma sana, wanawake wanaotetea ilo suala wangepata nafasi ya kuwa wanaume hata kwa dakika moja tu na kupata uzoefu wa iyo situation nafikiri wangeelewa vizuriUnatoka room unakatiza sebleni ghafla unakutana na mtu ana bonge la tako limefungwa mtandio mwepeeesi hadi chupi inaonekana limejilaza kwenye Kochi kuchunguza vizuri huyu ni nani kumbe mtoto wa sister, TV inaendelea kupiga Trace mziki huku yeye kalala tu tena kajipanua kabisa, ooooyi nyie sikieni tu yasiwakute hayo ya uzungu waachieni wazungu huko
Moja jinga hili hapa,mama zako walivaa vizuri mbele za ndugu na jamaa,kukaa unaanika mapaja,makalio na chupi mbele ya watu unaowaheshimu ni umbuziKm una Tamaa ndani yako hata wakivaa magunia utashawishika tyuuh. Msisingizie mavazi lol.
Mkuu geto lipo ila kuna kafuraha fulani kukutana ndugu wote home kwa baba na mama ambapo wote mmekulia sio mbaya kufanya ivyo hata mara moja kwa mwakaNa wewe toka kwa dada yako kapange umri uho unakaa kwa dada
Mwanamke anaongelea hisia za mwanaume!!Huo ni uongoo tyuuh, tamaa zinawatuma, na sio mavazi.
Ni haya manamake ya hovyohovyoMwelekeze mwenzako cocastic .. ingawa tangu nimeingia jf sijawahi kujua kwa ufasaha ni jinsia gani huyu
Kwanza unajua neno kubaka? Tuanzie hapo.Basi yule aliesema mkibakwa inabidi mutoe shukhrani kwa aliewabaka hakukosea alikua sahihi maana kwa namna moja au nyingine hua mnataka wenyewe,
Weak men!!..wewe unayetegwa na huoni tatizo ndiyo weak man,sisi wengine tukiona underskirt tu imeanikwa chuma kinasimamaIf you can control your sexual appetite you can control anything hivyo hiyo ni yako mzee Kuna watu wanategwa zaidi ya hapo sema wanachomoa kwaiyo hio ni kwako na baadhi ya weak men mkuu mbona mi ishanitokea Sana kipindi flani nikawa nachomoa tu hivyo usijidekeze mkuu
Ni wa kiume ila kibongo bongo wengine tumezoea hata mtoto wa dada kumwita mjomba au uncleMjomba si ni wa kiume au kuna wajomba wa kike siku hizi? Halafu mtoto wa kike akifika chuo anakua anajitambua na anajua anachofanya ndio maana hawawekewi fence chuo
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?Hata humu wapo mzee. Pia kuna wazazi/wakina dada ambao wanaweza kuwaonya mabinti/wadogo zao kuhusu ilo. Alafu kule facebook identity zinajulikana mkuu