Shoga hilo halina hisia za kiumeYaani unabishana na wanaume kuhusu uanaume? Vaa vizuri eboo!
Hauna uhuru wa kukakaa uchiUhuru ni wetuuu, nishindwee kujiachia kisa anko? Apambane na tamaa zake lol
Sasa Kama unaweza dindisha alafu alievaa hivyo Ni ngugu yako huoni tayizo ndicho anachojaribu kisema mtoa madaIshu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it
[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]
View attachment 2469863
Nimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
Ni jinsi tu mtu anavyozi-condition akili zake tangu akiwa mdogo. Nchi zilizoendelea kipindi cha summer ukienda beach unakuta kila mwanamke amevaa bikini na sidiria. Na bikini na sidiria za siku hizi usiambiwe. Sidiria ni tu-pande tu-wili tu-dogo twa-vitambaa tumefunika chuchu za matiti kwa kuunganishwa na kamba nyembamba sana. Bikini nayo ni ka-kitambaa kadogo kamefunika K sehemu ndogo sana. Ukiangalia kwa nje unaona kabisa shhape yake. Na wanaume wanaona ni kitu cha kawaida. Hivyo hivyo zamani wazee wetu walishazoea. Tatizo jingine ni kuwa vijana wengi wa kibongo wanafanya zinaa kwa macho. Unakuta jamaa kakaa sehemu anamwangalia mwanamke huku mawazo yake yote yanafikiria jinsi alivyo na atakavyolala naye kama atampata. Nadhani na ukosefu wa shughuli za kufanya nazo zinachangia. Mtu anakaa sehemu moja huku akiota ndoto za Alinacha za kufanya ngono na fulani.Nimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uongoo tyuuh, tamaa zinawatuma, na sio mavazi.
MIMI mwenyewe sijui kwa nini wanawake wa siku hizi wanalala mpaka na Mbwa tofauti na wanawake wa zamaniNimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa umeelewa nilichoandika au umejisikia tu kuniquote?MIMI mwenyewe sijui kwa nini wanawake wa siku hizi wanalala mpaka na Mbwa tofauti na wanawake wa zamani
Nimeelewa sana tuuHahaaa umeelewa nilichoandika au umejisikia tu kuniqoute?
Vaeeni hivi sawa
Mimi ni mkristu, hayo makitu hayanihusu.Vaeeni hivi sawaView attachment 2470619
View attachment 2470609
Wavae hivi utaona kama kuna mtu atawatamani
Nenda kwa rafiki yako wa kiume wala siyo mpenzi wako. Jiachie na kimini, mara upo na kichupi unasema joto uone km ajataka tamu.
Nawewe unahaki ya kukaa sebureni na Boxer si dadayako so hakuna tatizo atakuangalia malamoja atkwambia umetoka chichaDada zako kiaje tuanzie hapo kama ni wa damu sidhani kama utakuwa na mood ya kuwatamani maana unamtizama mara moja then unaendelea na mambo yako, ,mi dada kqma kapendeza namwambia leo umetoka chicha basi ,kwani ye hajui k mi ni kaka ake labda kama anataka kuhakikisha kama nipo acticve,
PoleniNenda kwa rafiki yako wa kiume wala siyo mpenzi wako. Jiachie na kimini, mara upo na kichupi unasema joto uone km ajataka tamu.
Mavazi yanaathari kubwa sana.
Kwa heshima na maadili wajomba, kaka zako, baba yako na ndugu zako wa kiume hawaruhusiwi kuona baadhi ya sehemu za mwili wako, nguo za ndani hata kuingia chumba cha watoto wa kike lbd kuwepo na dharula unaumwa n.kPoleni