Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Ishu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it

[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]

View attachment 2469863
Sasa Kama unaweza dindisha alafu alievaa hivyo Ni ngugu yako huoni tayizo ndicho anachojaribu kisema mtoa mada
 
Dada zako kiaje tuanzie hapo kama ni wa damu sidhani kama utakuwa na mood ya kuwatamani maana unamtizama mara moja then unaendelea na mambo yako, ,mi dada kqma kapendeza namwambia leo umetoka chicha basi ,kwani ye hajui k mi ni kaka ake labda kama anataka kuhakikisha kama nipo acticve,
 
Karne hii bado unapagawa ukiona nguo ya ndani ya mwanamke? Pole sana. Kwani kuvaa nusu ni uzungu au uafrika? Una habari kuwa miaka michache iliyopita wanawake wa kiafrika walikuwa hata nguo za ndani hawavai na walikuwa wanatembea matiti nje? Mbona wanaume wa zama hizo hawakulalamika?
Nimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jinsi tu mtu anavyozi-condition akili zake tangu akiwa mdogo. Nchi zilizoendelea kipindi cha summer ukienda beach unakuta kila mwanamke amevaa bikini na sidiria. Na bikini na sidiria za siku hizi usiambiwe. Sidiria ni tu-pande tu-wili tu-dogo twa-vitambaa tumefunika chuchu za matiti kwa kuunganishwa na kamba nyembamba sana. Bikini nayo ni ka-kitambaa kadogo kamefunika K sehemu ndogo sana. Ukiangalia kwa nje unaona kabisa shhape yake. Na wanaume wanaona ni kitu cha kawaida. Hivyo hivyo zamani wazee wetu walishazoea. Tatizo jingine ni kuwa vijana wengi wa kibongo wanafanya zinaa kwa macho. Unakuta jamaa kakaa sehemu anamwangalia mwanamke huku mawazo yake yote yanafikiria jinsi alivyo na atakavyolala naye kama atampata. Nadhani na ukosefu wa shughuli za kufanya nazo zinachangia. Mtu anakaa sehemu moja huku akiota ndoto za Alinacha za kufanya ngono na fulani.
 
Huo ni uongoo tyuuh, tamaa zinawatuma, na sio mavazi.
140404164722-afghan-women-10-2.jpg

Wavae hivi utaona kama kuna mtu atawatamani
 
Dada zako kiaje tuanzie hapo kama ni wa damu sidhani kama utakuwa na mood ya kuwatamani maana unamtizama mara moja then unaendelea na mambo yako, ,mi dada kqma kapendeza namwambia leo umetoka chicha basi ,kwani ye hajui k mi ni kaka ake labda kama anataka kuhakikisha kama nipo acticve,
Nawewe unahaki ya kukaa sebureni na Boxer si dadayako so hakuna tatizo atakuangalia malamoja atkwambia umetoka chicha
 
Kwa heshima na maadili wajomba, kaka zako, baba yako na ndugu zako wa kiume hawaruhusiwi kuona baadhi ya sehemu za mwili wako, nguo za ndani hata kuingia chumba cha watoto wa kike lbd kuwepo na dharula unaumwa n.k
Sasa upo sebuleni umevaa kimini, chupi ipo nje, manyonyo yapo nje, mapaja yote yapo nje. Baba yako, mjomba wako, kaka yako na ndugu zako wa kiume wanakuangalia. Hiyo ndiyo adabu?
Halafu unasema sisi wanaume tunatamaa. Wanaume tamaa yetu ipo kwa kuona. Ili tukutake lazima uvutie kingono.
 
Back
Top Bottom