Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Kasome una presentation jumanne [emoji1]Ishu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it
[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]
View attachment 2469863
Kwahiyo ni sahihi hata mjomba au kaka kulala kwenye chumba cha watoto wakike? Si anakuwa hana tamaaPoleni
Jesuu we ni mchawi umejuaje au tunasoma wote chuo kimoja haaa jf usiseme I'd zinajulikanaKasome una presentation jumanne [emoji1]
Unamatatizo katika mtindio wa ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mavazi sio sababu hata.
Huyo wa first year mbona anatafunika vizuri tu mkuu! Hapo huo ushauri uelekezwe kwa hao wa form 2 na form 4 ila first year anaelewa anachokifanya.
[emoji38][emoji38]Nimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtoto wa miaka miwili na mwanafunzi wa chuo unawalinganishaje..?Mavazi siyo sababu ya mwanaume kubaka, kumnyanyasa kijinsia mtoto wa kike.
Acheni kupotosha na tamaa zenu, kwenye maonyesho moja ya unyanyasaji wa kijinsia, kuliwekuwepo na nguo ya mtoto wa miaka 2.
Wakasema wazi mtoto wa miaka 2, anahamasishaje mwanaume kuweza kumbaka? Kuanzia nguo na maumbile yake?
Ikahitimishwa nguo siyo kigezo, ni akili za mwendawazimu tu ndiyo anaweza kubaka.
Upande wangu navaa navyojisikia, nitakavyopenda. Ukishawishika utajijua mwenyewe mimi kwa raha zangu...
Haya sasa"Anko kaletewa homework chumban" [emoji848][emoji116]View attachment 2469818
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa malezi yangu si sahihi, ila nachozungumzia watu wanaosema kuvaa nguo fupi sijui kunawatamanisha ndio nikahoji wanawake wa zaman walikua wanavaa magome vifua nje nje haya makesi hayakuwepo nyie wanaume wa leo mna shida gani? Mnataman mpaka ndugu zenu wa damu. Kesi za ubakaji kibao huko watu wanalala hadi na vichanga nao wamewatamanisha kwa kuvaa nusu utupu? Punguzen tamaa.Kwahiyo ni sahihi hata mjomba au kaka kulala kwenye chumba cha watoto wakike? Si anakuwa hana tamaa
wanaume wote rijali wanatamaa ila utofauti unakuja namna ya mazingira (kushawishiwa) na namna ya kuzicontrol tamaa. Ukitengeneza mazingira ya kumshawishi utashangaa hata watu uliokuwa unawaheshimu wanakutaka. Mwingine atakutongoza, mwingine atanyamaza tu.Kwa malezi yangu si sahihi, ila nachozungumzia watu wanaosema kuvaa nguo fupi sijui kunawatamanisha ndio nikahoji wanawake wa zaman walikua wanavaa magome vifua nje nje haya makesi hayakuwepo nyie wanaume wa leo mna shida gani? Mnataman mpaka ndugu zenu wa damu. Kesi za ubakaji kibao huko watu wanalala hadi na vichanga nao wamewatamanisha kwa kuvaa utupu? Punguzen tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza povu sina nguo chafu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moja jinga hili hapa,mama zako walivaa vizuri mbele za ndugu na jamaa,kukaa unaanika mapaja,makalio na chupi mbele ya watu unaowaheshimu ni umbuzi
Hovyo hovyo mwenyeweeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni haya manamake ya hovyohovyo
Unazungumziaje wanaume wanaolala mpaka na wanyama? Wanaume wanaobaka watoto hata kutembea hawajaanza?wanaume wote rijali wanatamaa ila utofauti unakuja namna ya mazingira (kushawishiwa) na namna ya kuzicontrol tamaa. Ukitengeneza mazingira ya kumshawishi utashangaa hata watu uliokuwa unawaheshimu wanakutaka. Mwingine atakutongoza, mwingine atanyamaza tu.
Wanaume tunakikao cha dharura tukutane jioni corner bar.Mara mwingine kapiga kanga moko alafu kwa maumbo yetu ya kibantu anavyotetema pale chini ya mgongo ni hatari, kwa kweli
Hapo mngelala chumba kimoja si watu wangesikia baruti? 😁Wanaume tujifunze kuji-control kwasababu mambo yameshabadilika. Vitoto vinakaa uchi huku zikitungwa sheria kali za kuwalinda. Binafsi kuna wakati nilisafiri nchi flani ya nje kule mwenyeji wangu alikuwa mtoto wa Uncle anayesoma Masters. Kiukweli nilipata wakati mgumu mno kwa uvaaji wa yule binti. Na muda mwingi kwenye mizunguko yangu nilikuwa nae.. hata chumbani alikuwa akija. Kilichosaidia hatukuwa tukilala chumba kimoja.