Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Ishu sio kusimama hio ni hali ya kawaida kwa mwanaume rijali ishu ni kujicontrol wewe Kama wewe usionekane simp au upo very desperate na hizo k zao hio ndo changomoto ruksa kudindisha Ila sio kukojolea kila kitu unachodindishia hope you got it if not forget about it

[emoji1782][emoji592][emoji3528][emoji1625][emoji779][emoji689]

View attachment 2469863
Kasome una presentation jumanne [emoji1]
 
Mavazi siyo sababu ya mwanaume kubaka, kumnyanyasa kijinsia mtoto wa kike.
Acheni kupotosha na tamaa zenu, kwenye maonyesho moja ya unyanyasaji wa kijinsia, kuliwekuwepo na nguo ya mtoto wa miaka 2.

Wakasema wazi mtoto wa miaka 2, anahamasishaje mwanaume kuweza kumbaka? Kuanzia nguo na maumbile yake?
Ikahitimishwa nguo siyo kigezo, ni akili za mwendawazimu tu ndiyo anaweza kubaka.
Upande wangu navaa navyojisikia, nitakavyopenda. Ukishawishika utajijua mwenyewe mimi kwa raha zangu...
Sasa mtoto wa miaka miwili na mwanafunzi wa chuo unawalinganishaje..?

Ada ulisomeshwa bora ingenunua ng'ombe
 
Kwahiyo ni sahihi hata mjomba au kaka kulala kwenye chumba cha watoto wakike? Si anakuwa hana tamaa
Kwa malezi yangu si sahihi, ila nachozungumzia watu wanaosema kuvaa nguo fupi sijui kunawatamanisha ndio nikahoji wanawake wa zaman walikua wanavaa magome vifua nje nje haya makesi hayakuwepo nyie wanaume wa leo mna shida gani? Mnataman mpaka ndugu zenu wa damu. Kesi za ubakaji kibao huko watu wanalala hadi na vichanga nao wamewatamanisha kwa kuvaa nusu utupu? Punguzen tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa malezi yangu si sahihi, ila nachozungumzia watu wanaosema kuvaa nguo fupi sijui kunawatamanisha ndio nikahoji wanawake wa zaman walikua wanavaa magome vifua nje nje haya makesi hayakuwepo nyie wanaume wa leo mna shida gani? Mnataman mpaka ndugu zenu wa damu. Kesi za ubakaji kibao huko watu wanalala hadi na vichanga nao wamewatamanisha kwa kuvaa utupu? Punguzen tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wote rijali wanatamaa ila utofauti unakuja namna ya mazingira (kushawishiwa) na namna ya kuzicontrol tamaa. Ukitengeneza mazingira ya kumshawishi utashangaa hata watu uliokuwa unawaheshimu wanakutaka. Mwingine atakutongoza, mwingine atanyamaza tu.
 
Wanawake na mabinti wa siku hizi ni basi tuu kuvaa nguo ni jadi ila huwa naona wanatamani hata watembee uchi waanike mbususu ila basi tuu.
 
Moja jinga hili hapa,mama zako walivaa vizuri mbele za ndugu na jamaa,kukaa unaanika mapaja,makalio na chupi mbele ya watu unaowaheshimu ni umbuzi
Punguza povu sina nguo chafu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km una tamaa had kwa ndugu zako wa damu, sio shda zangu.
Poleeeeeeee
 
wanaume wote rijali wanatamaa ila utofauti unakuja namna ya mazingira (kushawishiwa) na namna ya kuzicontrol tamaa. Ukitengeneza mazingira ya kumshawishi utashangaa hata watu uliokuwa unawaheshimu wanakutaka. Mwingine atakutongoza, mwingine atanyamaza tu.
Unazungumziaje wanaume wanaolala mpaka na wanyama? Wanaume wanaobaka watoto hata kutembea hawajaanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tujifunze kuji-control kwasababu mambo yameshabadilika. Vitoto vinakaa uchi huku zikitungwa sheria kali za kuwalinda. Binafsi kuna wakati nilisafiri nchi flani ya nje kule mwenyeji wangu alikuwa mtoto wa Uncle anayesoma Masters. Kiukweli nilipata wakati mgumu mno kwa uvaaji wa yule binti. Na muda mwingi kwenye mizunguko yangu nilikuwa nae.. hata chumbani alikuwa akija. Kilichosaidia hatukuwa tukilala chumba kimoja.
 
Uncle unatakiwa uwafindishe kwa vitendo namna ya kukaa sebuleni! 😂
Mbona wataelewa!
 
Wanaume tujifunze kuji-control kwasababu mambo yameshabadilika. Vitoto vinakaa uchi huku zikitungwa sheria kali za kuwalinda. Binafsi kuna wakati nilisafiri nchi flani ya nje kule mwenyeji wangu alikuwa mtoto wa Uncle anayesoma Masters. Kiukweli nilipata wakati mgumu mno kwa uvaaji wa yule binti. Na muda mwingi kwenye mizunguko yangu nilikuwa nae.. hata chumbani alikuwa akija. Kilichosaidia hatukuwa tukilala chumba kimoja.
Hapo mngelala chumba kimoja si watu wangesikia baruti? 😁
 
Wenye masikio tumesikia na yutalifanyia kazi,wakibakwa wanasema ndugu wabaya,jamani mwanaume ni mwanaume
 
Back
Top Bottom