Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

Wanawake hawanabuni kujua kwamba wanaume wanapoona maaumbile ya kike ndipo sex desire inakuja that nature we can't run from that reality na mwanamke anaposhikwa shikwa baadhi ya sehemu za mwili wake ndipo nayeye feeling zinamjia za kufanya mapezi sasa ili sasa kubakana kusiwepo kila mmoja asiwe chazo cha kumshawishi mwezake kufanya ya siyo faa .By beholding we become changed tusidanganyane mwanaume mwenye afya kamili ya mwili na akili wa kiafrika akiona sehemu za siri za mwanamke tamaa inawaka sababu tumekulia katika mazingira ya kujua kwamba hizo ni sehemu za siri no one should see it only for someone special na ndio inamfanya mwanamke anakuwa na thamani kwa mwanaume
 
Km una Tamaa ndani yako hata wakivaa magunia utashawishika tyuuh. Msisingizie mavazi lol.
Sisi wa Afrika siyo tamaduni zetu kuishi hivyo ila wazungu ndiyo tamaduni zao kuishi hiyo utakuta wazungu wanaongelea Baba, Mama na Watoto wote wakiwa na nguo za ndani na utakuta Mama ana mkumbatia mtoto wake wa kiume wote wakiwa wamevaa chupi tu, wazungu wao ndiyo tamaduni zao na hisia zao zipo mbali mno yaani kwa wazungu ata mwanamke akae uchi yeye mwanaume hakuna shida
 
Dada zako kiaje tuanzie hapo kama ni wa damu sidhani kama utakuwa na mood ya kuwatamani maana unamtizama mara moja then unaendelea na mambo yako, ,mi dada kqma kapendeza namwambia leo umetoka chicha basi ,kwani ye hajui k mi ni kaka ake labda kama anataka kuhakikisha kama nipo acticve,
Haujasoma vzr andiko langu
 
Nimejiuliza hili swali au wanaume wa zamani hawakua na hisia ila wa sasa hisia ndio zimejaa? Wengine wanalala hadi na kuku asa sijui kuku anakua kamtamanisha kitu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani na sasa ni tofauti. Uko zamani mwanaume wa miaka 16 tu anapewa mke na shamba anaanza maisha unaweza kuta mpaka kafika miaka miwili 20 ana wake hata wawili kwaiyo k kwake ni huduma ya kawaida akihihitaji hata umkalie uchi anapotezea akijua jioni anaenda kumkunja mkewe nyumbani tofauti na sasa umri wa miaka 20 ndo kwanza mtu yupo a-level huduma ya k kwake ni ya kulenga kwa manati kwaiyo akiona sehemu nyeti za mwanamke lazima asisimke kwa urahisi kutokana na ukame wa kufanya mapenzi alionao.. zamani english figure ilikua inabamba walikua wanasema shepu ya kimiss saiv chura ndo mpango mzima hata wanawake wa sasa wanajiingiza dildo, matango, chupa kwenye sehemu zao za siri mbona wanawake wa zamani hawakufanya ivyo je wao hawakua na hisia? Zama zinabadilika mitazamo inabadilika life style inabadilika ndo asili ya binadamu iyo hatuwezi kuishi na mitazamo ile ile milele
 
kwanza mtoto wakiume unajipitishaje pitishaje sebuleni?hali yakua dada ,anko,shangazi zako wamekaa? mwanaume Kama huna pakwenda kaa ndani kwako tulia au chukua kiti kaa nyuma au pembeni yanyumba usubiri kuutwa kwaajili ya chakula au kitu kingine au nenda misele kakae nawashkaji.ukifanya hivyo hayo Mambo huta yaona.lakini ukiendelea kujipitisha pitisha utakuja kuona kum..a za ndugu zako bure uanze kusingizia malezi.kwanza mwanaume unashindaje nyumbani?unaumwa au?wanaume hatushindi nyumbani hovyo sawa?nyumba niza wanna wake.
 
Mpunguze tamaa, msisingizie mavazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mavazi yana nafasi kubwa sana katika kuchochea ngono au matamanio ya kihisia unafikiri night dress kwanini iliwekwa kinguo laini kinachoonesha sehemu za ndani kwann night dress isingekua gauni la kitenge kwanini makahaba wakiwa maeneo ya kazi wanavaa mavazi wanayoacha wazi sehemu kubwa za miili yao. Wanawake wengi kwa kujua au kutojua mnavaa nguo zinazoonesha maungo yenu mkiwa na lengo la kumvutia mwanaume ndio maana mwanamke akijiona amependeza kuweza kuvuta hisia za mwanaume alafu uyo mwanaume alielenga kumvutia asioneshe kabisa kuwa na interest nae nakwambia mwanamke kuchanganyikiwa anaweza kufanya mambo ya ajabu ajabu hapo kama kujipitisha pitisha mbele ya jamaa bila hata sababu
 
Sisi wa Afrika siyo tamaduni zetu kuishi hivyo ila wazungu ndiyo tamaduni zao kuishi hiyo utakuta wazungu wanaongelea Baba, Mama na Watoto wote wakiwa na nguo za ndani na utakuta Mama ana mkumbatia mtoto wake wa kiume wote wakiwa wamevaa chupi tu, wazungu wao ndiyo tamaduni zao na hisia zao zipo mbali mno yaani kwa wazungu ata mwanamke akae uchi yeye mwanaume hakuna shida
Ko hisia zinafuata tamduni siku hizi? Mapya hayaa lol.
 
Kwa malezi yangu si sahihi, ila nachozungumzia watu wanaosema kuvaa nguo fupi sijui kunawatamanisha ndio nikahoji wanawake wa zaman walikua wanavaa magome vifua nje nje haya makesi hayakuwepo nyie wanaume wa leo mna shida gani? Mnataman mpaka ndugu zenu wa damu. Kesi za ubakaji kibao huko watu wanalala hadi na vichanga nao wamewatamanisha kwa kuvaa nusu utupu? Punguzen tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mavazi yana sehemu zake ndugu yangu yaani nguo za beach, night club au ukiwa chumbani na bwana wako unazivalia nyumbani unapoishi na ndugu ambao ni wanaume watu wazima alafu unajiona upo sawa kweli.! Tena unawananga kabisa wanaume waache tamaa
 
Wanawake na mabinti wa siku hizi ni basi tuu kuvaa nguo ni jadi ila huwa naona wanatamani hata watembee uchi waanike mbususu ila basi tuu.
Tamthilia za kigeni na utandawazi umetualibia dada zetu.. uko juu kuna comments za wakina dada wanatetea kabisa kukaa uchi uchi mbele za watu.
 
kwanza mtoto wakiume unajipitishaje pitishaje sebuleni?hali yakua dada ,anko,shangazi zako wamekaa? mwanaume Kama huna pakwenda kaa ndani kwako tulia au chukua kiti kaa nyuma au pembeni yanyumba usubiri kuutwa kwaajili ya chakula au kitu kingine au nenda misele kakae nawashkaji.ukifanya hivyo hayo Mambo huta yaona.lakini ukiendelea kujipitisha pitisha utakuja kuona kum..a za ndugu zako bure uanze kusingizia malezi.kwanza mwanaume unashindaje nyumbani?unaumwa au?wanaume hatushindi nyumbani hovyo sawa?nyumba niza wanna wake.
[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumziaje wanaume wanaolala mpaka na wanyama? Wanaume wanaobaka watoto hata kutembea hawajaanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tuna idadi kubwa ya wagonjwa wa akili wengine tunaishi nao au wapo maofisini wameshikilia nafasi nyeti na wanaheshimika mitaani kwao ni hatujaweka mkazo kuhusu ilo tunajua mgonjwa wa akili ni anaeokota makopo jalalani tu na hili tatizo lipo kwa jinsia zote kuna wanawake pia wanabaka watoto mfano yule mama wa moro, wanawake wanajiingiza dildo, chupa, matango sehemu za siri unafikiri wapo sawa hawa?
 
Wanaume tujifunze kuji-control kwasababu mambo yameshabadilika. Vitoto vinakaa uchi huku zikitungwa sheria kali za kuwalinda. Binafsi kuna wakati nilisafiri nchi flani ya nje kule mwenyeji wangu alikuwa mtoto wa Uncle anayesoma Masters. Kiukweli nilipata wakati mgumu mno kwa uvaaji wa yule binti. Na muda mwingi kwenye mizunguko yangu nilikuwa nae.. hata chumbani alikuwa akija. Kilichosaidia hatukuwa tukilala chumba kimoja.
Ni kweli mkuu
 
kwanza mtoto wakiume unajipitishaje pitishaje sebuleni?hali yakua dada ,anko,shangazi zako wamekaa? mwanaume Kama huna pakwenda kaa ndani kwako tulia au chukua kiti kaa nyuma au pembeni yanyumba usubiri kuutwa kwaajili ya chakula au kitu kingine au nenda misele kakae nawashkaji.ukifanya hivyo hayo Mambo huta yaona.lakini ukiendelea kujipitisha pitisha utakuja kuona kum..a za ndugu zako bure uanze kusingizia malezi.kwanza mwanaume unashindaje nyumbani?unaumwa au?wanaume hatushindi nyumbani hovyo sawa?nyumba niza wanna wake.
Mkuu kula mlo kamili, kunywa maji mengi, fanya mazoezi, pata muda wa kutosha kulala au kupimzika itakusaidia kuwa na afya ya ubongo na kukuondolea stress kuliko kuleta makasiliko yako mitandaoni
 
Mkuu kula mlo kamili, kunywa maji mengi, fanya mazoezi, pata muda wa kutosha kulala au kupimzika itakusaidia kuwa na afya ya ubongo na kukuondolea stress kuliko kuleta makasiliko yako mitandaoni
usishinde nandugu zako wakike nyau wee
 
Back
Top Bottom