Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Hongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu UKIMWI.
Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia, je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.