Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi Baba wa Taifa naye alikufa kwa ugonjwa gani? Maana sikuwepo Tanzania.😀😀😀
UKIMWI ni ugonjwa unaosababishwa na Virus.
Virus Kwa Asilimia kubwa ni Man-made.
Kipindi cha Daudi palikuwa na Teknolojia ya kuunda virus hapo ndio swali unapaswa ujiulize kabla hujatafuta majibu mengine