mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ukimwi ulianzia uganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah yni apo m ndo ninapoona ujinga wa hawa watu
Ety Daudi kafa kwa ukimwi
Ivi nyie nani alowadanganya ivi na mkadanganyika haswaaa yni kweli ukae chini umsingizie Nabii wa Mungu kua anapenda wanawake
Kwa Imani yangu Manabii wote ni watu walokingwa na kufanya dhambi sasa ukija upande uleeee utasikia Nabii fulani kazini
Ah m nashindwa kuwaelewa nyie watu
Huo ukimwi umeanza juzi juzi tu hapo miaka ya 1980 ni vipi huyo mchugaji wa mchongo anapachika haya mambo enzi za kina Daudi?
Mwishowe mtaambiwa alikufa Kwa Corona..
Daudi alikufa akiwa Mzee kabisa!
Hadi akapewa na Binti (Suria) amtunze kwenye uzee wake ..
Ambaye baadae mwanae alimgonga pia na hakupata ukimwi Wala Nini..
Kasome kitabu Cha samweli 1&2 na wafalme 1&2,
Someni Biblia zipo mpaka kwenye simu ni Bure tu..
Aids iligundulika kwa mara ya kwanza miaka ya 1980,
Biblia agano la kale na agano jipya zilikuwa zimeshaandikwa kwa wakati huo
Wafuasi wa hawa watu ni wale wenye akili kama za wendawazimu,ukimuona mtu wako wa karibu ameenda kwenye haya mabanda hesabu ameshapotea maana akili zote zinahama.Dini ni biashara siku hizi [emoji1][emoji1][emoji28] Nafkiri kwenye hiyo hadhara hakukuwa na watu wenye akili zinazofanya kazi sawasawa unless otherwise wangemdunda huyo mtoa mahubiri
Wewe ni m@takleYesu alipofufuka wa kwanza kufika Nani!?..ukaribu wa yesu na Maria unatia Shaka,yesu aliacha dini mikononi mwa Maria,Ila mfumo dume ukawa na husda,ukamtoa Maria karibu na yesu na kudai alikua Malaya..watu mpaka wanabusiana,yesu akiwa anatengeneza zake stuli Maria yupo