Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo mkanda wa jeshi?Ukosefu wa Kinga mwilini lakini siyo ukimwi- kwa mujibu wa dotchvele siku hiyo ya taarifa saa Saba mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mkanda wa jeshi?Ukosefu wa Kinga mwilini lakini siyo ukimwi- kwa mujibu wa dotchvele siku hiyo ya taarifa saa Saba mchana
Hakika tunaangamia kwa kukosa MAARIFA!WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
Tumesikia Yesu ana mke na sasa tunaambiwa mfalme Daudi alikufa kwa ngoma, kesho utasikia baadhi ya manabii walikuwa waganga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hoi Nini misukule yake?kwani misukule yake inasemaje
Na aliuguzwa hapo magomeni mapipa kwani hata neno mapipa limetokana na kuwa dawa za kumuuguza mfalme daudi zilikuwa zinachemshiwa katika mapipa hapo magomeni.Uliza lingineHongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Taarifa zinadai lyukemiaSiyo mkanda wa jeshi?
Ndio cancer ya damu hii au?Taarifa zinadai lyukemia
Ukitaka uelewe nilichokwambia anza kusoma biblia mwenyewe kila siku, tuone kama utakua kama Yuda. Biblia ni kitabu chanye kukufundisha mazuri tu kwa nguvu ya Roho mtakatifu.I never said that I know..., indeed am all for each and their own.., but give me facts any day and am ready to sway the other way....
Linapokuja suala la Imani its hard and wastage of time to try to say that you don't believe what you believe; that's your individual truth..., to try and shove what you believe into others is not Kosher.....
But as a Community we need Empirical Truths based on facts..., anything else should remain for individuals as they see fit....
Ilikuwa ni Covid-19Hongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Narudia tena paragraph yangu ya pili hapo juu....Ukitaka uelewe nilichokwambia anza kusoma biblia mwenyewe kila siku, tuone kama utakua kama Yuda. Biblia ni kitabu chanye kukufundisha mazuri tu kwa nguvu ya Roho mtakatifu.
Ndiyo maana tunahitaji kuelewa zaidi kuhusiana na UKIMWI kiujumla.Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
YeahNdio cancer ya damu hii au?
Ukimw ni upungufu wa kinga mwilini hivyo kila binadam haijalish wa lin ana uwezo wa kupungukiwa kingaHongereni na majukumu wanajukwaa.