Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Duh!Hongereni na majukumu wanajukwaa.

Dah yni apo m ndo ninapoona ujinga wa hawa watuHongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Afadhali kumbe na wewe ulisikiliza,kwa hyo yeye Kuhani na Muonaji Mwalimu Mussa Richard Mwacha ugonjwa wa tauni ndio ameupachika jina la Ukimwi,hapo nimekuelewa sasa.Mafalme Daudi alitenda dhambi ya kutembea na mke wa Huria ambaye alikuwa nia askari wake na haikutosha akamtuma mkuu wa kikosi cha Jeshi amuweke mstari wa mbele, kilichotokea Huria akafa.
Daudi alikuwa kashampa mimba mke wa Huria, MUNGU akakasirika ndio mfalme akaanza kuumwa ugonjwa wa Tauni...
Huo ugonjwa wa Tauni, ndio Kuhani anasema ni UKIMWI, pia alisema ulikuwa ugonjwa wa wa falme kwakuwa walikuwa na wake wengi...
Hata Hezekia pia aliugua Tauni...
Ukisoma Zaburi 6:6... utaona mfalme Daudi alivyokuwa akimlilia Mungu amponye...
Inatakiwa kufanya Toba ya kweli ukifanya uzinzi...
Hao wahubiri makanjnja ni wa kupoteza muda wako na kuwasikiliza kweli?Hongereni na majukumu wanajukwaa.
Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu ukimwi. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo
Kwa wajuvi wa Biblia je kuna mstari wowote unaonyesha hii taarifa? Na kama ni kweli kumbe basi huu ugonjwa umeanza zamani sana. Naweka na sehemu ya mahubiri yake maana niliyarekodi japo sikurekodi mpaka mwisho.
Hakuna kipya chini ya JuaHao wahubiri makanjnja ni wa kupoteza muda wako na kuwasikiliza kweli?
Ukimwi umetengenezwa miaka ya 70+, mfalme Daudi aliishi hapa duniani mwaka gani?
Hata hivyo mwenye sifa ya kuoa na kuchezea wanawake ni mfalme Selemani na siyo Daudi.
hakuna kipya wala kanuni za ajabu ni swala tu la kujitahidi kuwa mwaminifu ukiwa na imani neno la kusimamia na kisha kuzidisha juhudi katika unachokisimamia ukija in box naweza kufunguka zaidi. uje na sadaka 🤣 🤣 🤣🤣 tena ya kujimaliza yaani kiasi chote kilichopo kwenye pochi yako ndo unitumie!(natania) Unashangaa nini si ndo tunavyoambiwa!Mkuu hebu tufundishena sisi mnavyopiga story na Mungu.
ilitakiwa wathibitishie hicho akisemacho kwa kuonesha kifungu kinacho sema hvyo sio kusema tuHongereni na majukumu wanajukwaa.